Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna mbinu Gani chafu umetumia we matacall shoga kabisa wewe yaani sisi huyo caicedo hatuna time nae sema tumawaingiza Cha like Ili mpigwe kisawasawa sababu mnashoboka kwenye madili ya watu choko wewe wanakunusa nyuma sio
1691755283079.png
 
Muache aendelee kua London sisi tunarudi Kwa lavia mchezaji wetu tulitaka mpigwe kisawasawa toeni 120 hapo mumpate Sasa hivi Muna adabu munashobokea madili ya watu akili imewakaa leo hiyo ndio LIVERPOOL

Vip akija liverpool utajisikiaje na maneno yako haya.

Kubali kushindwa. Hata sisi Rafinya alitukataa asubuhi kweupe so keep cool bro hana mapenzi na ninyii ful stop
 
Wee mchumba wa mtu mwingine amemtongoza kwa zaidi ya miezi mitatu na walikuwa wanaenda vizuri tu halafu mwanaume mwingine akidhani pesa ni kila kitu anakuja hata bila kumtongoza msichana anaend akutaka kulipa mahari moja kwa moja. Wasichana wa siku hizi bana sio kama wale wa zamani wanaopelekeshwa tu. Wanahitaji mnmikakati na mojawapo ni kuwasilisha mikakati yako kwake ili aelewe akubali au akatae

Caicedo kafanya vizuri sana kuikataa Liverpool kwa sababu tumeenda naye vizuri tangu May bila chokochoko yeyote
 
Tukumbuke pia msimu wa 2020 Lampard alijaribu kumsajili Caicedo kwa mil 6 akashindwa kwa sababu wakati huo Caicedo aliitaka Man United tu

Sasa Man u wao walim undarate hawakufuatilia dili hadi Brighton wakaingia pale. Sasa wanavuna faida kutoka mil 6 hadi mil 120
 
  1. - Chelsea pull out of Tyler Adams deal
  2. - Chelsea use the £20m on top of £100m bid
  3. - Chelsea bid £120m for Caicedo
  4. - Brighton accept the offer
  5. - Caicedo ends up at Chelsea
  6. - Tyler Adams ends up at Brighton
 
Unajiuliza Chelsea walitoa wapi nguvu ya kwenda ku bid kwa Lavia na wakati bado hawajamalizana na Brighton.

Kumbe wajomba walishamalizana na Caicedo kitambo. Uhuni huu
Hili suala la caicedo linachanganya sana aisee , litaweka historia mpya ya kuwa msimu wenye drama sana kwenye suala la usajili katika historia ya epl
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom