Naomba nipingane na wewe kidogo. Kwa maoni yangu Luis sio mzuri ki hivyo, mafanikio pekee aliyopata ni pale Barcelona chini ya umbrela ya Messi, nje na hapo anastrugle sana
Hana Command na wachezaji atatupotezea muda. Luis hataweza kushindna na akina PEP, Arteta na KLop na hata hao makocha wengine. Kwa maoni yangu hatawaweza hawa wachezaji. I don't ruleout. Ni kocha mzuri ila sio wa carder tumtakaye. Najua Boehly hawezi kumsogelea Conte kwa sababu wanamtaka Kocha watakayemshika masikio na kumburuta