Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Moja ya vitu nataka kujua hivi huyu Havertz ana nini cha ziada anachowafanyia makocha wa Chelsea, Lampard, Tuchel, Potter na leo tena Lampard kiasi kwamba anaaminiwa katika safu ya ushambuliaji ya Chelsea kiasi kwamba hao wote wameshindwa kutafuta mfumo wa kupata matokeo bila kumhusisha huyu takataka? Tofauti na goli la Ubingwa la UEFA kipi kingine kafanya?
 
40e78479-23df-4dcc-b6ea-cfb4dbc47a9f.jpg
 
'From bad to worse..' mpaka mtakapo achana na makocha wa uingereza wale ni sawa sawa na makocha wa taifa star, acheni uzalendo wa kijinga tunarudi kule kule FL hana uwezo wakuinua hivyo vipaji vya hao watoto wa Chelsea....manusura ashushe Everton daraja unakuja kumpa team complicated zaidi ya Everton, huo ni ujinga.
Hawa matajiri wetu wa sasa wanapenda sana PR,

Na wenyewe ndio wametufanya tuwe katika hii hali tuliyonayo sasa.
 
Hawa wachezaji wanamuhitaji kocha sahihi. Akina Boehly wakikosea kusajili kocha wa msimu ujao, tujiandae tena kulia na kuanza kumfikiria kocha mwingine
  1. Tunamuhitaji kocha wa kuja kubadili mindset ya wachezaji
  2. Kocha mwenye uwezo wa kung'amua nani hafai ili auzwe
  3. Kocha mwenye kuweza kuwataka wachezaji wachezeje na wacheze kama kocha atakavyo - A demanding coach
  4. Kocha mwenye mamlaka juu ya wachezaji zaidi ya matajiri wa timu, tukimpata kocha Puppet kama Potter tumeisha
  5. Kocha mwenye uwezo wa kuwatumia kikamilifu akina Datro Fofana, Madueke, Felix, Havertz, Enzo, Mudryk, Mount nk hao wote ni hazina ya Chelsea na ni wachezaji wazuri ila ni kama watoto yatima wasie na baba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom