Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ety lampard anaweza kurudi, aisee Toddy ni maviiiiiiiiiiiii
Anakuja kumalizia msim tuu na si wakudumu..

Me naona bora kocha ajaye aanze na team kuanzia pre season na hii itampa mda kujua anataka nini kwa usajili,anataka wachezaj wacheze vipi etc.

Issue ya kutaka kocha kwa haraka ndio yale tunaingia kichwa kichwa tunawapata wa kina Potter or AVB version 2.0
 
Kuna shabiki moja hapa alidhihaki Kante kwasbb ya kuumia na kusema Chelsea sio sehemu yawagonjwa aondoke tu. Lakini walio tizama mpira jana ni mashahidi kante ni zaidi ya mchezaji wa kawaida.

Anazidi hata wale walio nunuliwa million 130, ana nguvu ya work rate kuliko wale wenye miaka 23, 22, anazunguka uwanja wote ni attacking middle fielder mzuri pass zote hatari katoa yeye mpaka kocha akaona amtowe ili amlinde mpaka mechi ya Madrid.

Gharagha hafai kucheza katika kikosi cha kwaza yule hana skill yoyote na mwenzia Loftus cheek hao ni mzigo, Chelsea ikipata tactical kocha itatisha sanaa Liverpool angapigwa zaid ya tano ila mpagilio wa kocha ulikua wa hovyo.
Mimi nilisema kabisa huna haja ya kubisha. Sababu yangu nyuma ni hasira ya kumkosa Kante wakati timu inateseka kufungwa hovyo huku tunaye world class CM kalala mgonjwa. Maelezo yangu hayakuwa na lengo la ku question uwezo wa Kante. So cool guy
Kama unaweka kumbukumbu vizuri ndie mimi mimi niliyesema Kante akirudi majeruhi na mechi chache anazocheza anawazidi hayo matakataka yanayocheza mechi zote bila impact
 
Kuna dalili nimeziona leo huenda mikoba ya Potter akakabidhiwa Frank Lampard.
The Blues mjiandae kucheza Europa, tena inawezekana hata kucheza Uefa kwa ile sheria mpya iliyopitishwa.
Screenshot_20230406_001637.jpg
 
Mletewa babysitter, nyie mnamuita mlezi.. mkae kwa kutulia sasa.

Road to conference league.

Europa mtaisikia kwenye bomba.
 
Sio kwamba Kai ajui nini chakufanya akiwa uwanjani kama unavyosema sema hajui nini chakufanya akiwa kwenye 18 ya mpinzani, jamaa mambo ya msingi anafanya akiwa nje ya box kama kuchezesha team au kutengeneza nafasi ila akifika golini ndio tatizo linaanza kuwepo kwake
Kai hajielewi akiwa nje au ndani ya box...sio natural striker 9...mara nyingi anaua move za counter attack akipewa pasi!! Pia anaoenda kucheza nje ya box , cross zinapigwa kwenye 6 yard hayupo
 
Mtu ambaye katimuliaa Everton team ndogo ambayo haina hata mpango wa Europa ,alitaka kuishusha daraja ndio wanamchukua Chelsea Tena wakiwa na malengo ya kuwapa CL ...kama sio vituko ni nin ...Bado Kuna watu watakaza fuvu et mpira unadunda , ...

Kamwe usije kumrudi ex wako ....
 
2011/12 tulipomwajiri Legend wa Chelsea Dimateo kuwa Care Taker wa timu tulishinda UCL
2023 Tunaenda tena kumuajiri Lampard Legent wetu kama Care Taker na tutashinda UCL tena
Lampard ataambatana na Ashley Cole, Joe Edwards na Chris Jones kama wasaidizi

1680599479275.png
 
Swali kuu la kwenye usaili wa kocha mpya Chelsea
  1. Hello Julian, utafanyeje ili Chelsea iweze kufunga magoli?
  2. Hello Luis, utafanyeje ili Chelsea iweze kufunga magoli?
  3. Hello Pochettino, utafanyeje ili Chelsea iweze kufunga magoli?
 
Kwa Maoni yangu kuhusu kocha

Nimeona mijadala ya nani atafaa kuwa kocha wetu wa msimu ujao for me katika makocha tunaohusishwa nao namuona anayetufaa ni Luis Enrique kwanini?

Kwa stage tuliofikia tunahitaji Kocha mwenye profile nzuri ya makombe, na mwenye experience ya kutosha ameshinda treble akiwa Barcelona, amefika final na team ya Taifa ya Hispania kombe la UEFA nation league akiwa na wachezaji wa kawaida sana wakina Moratta ndio striker, robo final ya Euro.Na Enrique ana vitu vyote hivyo kwanza ana experience ya kumage wachezaji wakubwa like Messi neymar jr luiz Suarez n.k

Kocha Mwenye Command na mwenye Win mentality

-Luis Enrique ni kocha mwenye demand kubwa Sana kwenye uchezaji yeye ndio alifanya Neymar, Messi na Luiz Suarez kupress high japo ni mastaa wakubwa sisi tunawachezaji wazuri ambao wanahitajika kupushia

Tactically ya Enrique

-Luis Enrique ni kocha ambaye alibadilisha aina uchezaji wa Barcelona kutoka mpira wa passi nyingi kwenda direct football anapenda usharpness wakushambulia uwe haraka kuwafikia opponent na Ndio maana chini yake Barcelona iliweka record ya kufunga magoal mengi Sana na Ndio kitu kunahitajika kwenye kikosi chetu Cha chelsea tuna changamoto ya kufunga magoal na tupo slow kwenye kumshambulia so mtu kama Luis Enrique ndio atakuwa tiba.

Kuna baadhi wanasema kama Luis ni mzuri kwanini alitoka kwenye hatua ya group stage na Hispania watu wanashindwa kujua Enrique kachukua Team Hispania mbovu Sana ikiwa haina Wachezaji wazuri kama tuliyoizoea yaani imagine Moratta ndio striker tegemezi wao kutoka kuwa na watu kama David Villa, Fernando Torres nk

Wana mtu kama ferran Torres ambaye alikuwa hapati hata number pale Man City lakini kutokana uhaba wa wachezaji wazuri ikijikuta anapata number kwenye Team ya Hispania.Pamoja na Team ya Hispania kuwa na wachezaji wa kawaida chini ya Luis Enrique lakini aliweza kuwapa atleast mafanikio mfano Alifikisha Fainal Hispania kwenye kombe la UEFA nation league, Robo final ya Euro kwa kikosi hicho hicho kibovu

Covax
lembu
Mbaga Jr
Cash Money Forever
Interlacustrine E
juan david
Mkohoti
 
We don't have Choice
Enrique ni kocha mzuri ila angepambanishwa na Conte ningemchagua Conte
Ninachojua ni afadhali kumchukua Luis Enrique kuliko Julian Nagelsmann bado mdogo na hana uzoefu wa kutosha kuimudu Chelsea
Nilichopenda kwa Enrique ni falsafa yake ya direct football, pasi za haraka haraka na kuwalazimisha wachezaji wote kumpress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom