Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida iko kwa wachezaji tutalaumu na kubadili makocha kila uchwao ila inshu ni wachezaji. Tuna wachezaji wa kawaida sana, Havertz, Sterling, Gallagher, Chek, Felix na wengine wengi tu ni wachezaji wa kawaida sana
Felix ni wa kawaida
Kante,kova,chilwel,Reece James,Aubela,Ziyech,Mudryk,enzo,Zakaria, badiashel,Silva,fofana n.k ni wa kawaida

Ukawaida wao ni upi

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Sio mbaya ila siyo sahihi
Baadhi ya wachezaji hawarespond vizuri kwa makocha fulani tu hata kama wote ni wazuri
Upo kwenye wenge la mashabiki wa united mbele ya Rashford na Pogba kabla hajachafua hali ya hewa.

Kila kocha aliyekuja they were like "At last a coach to unlock the potential of . . ."

Litakuja kukuisha soon mkipata mtu anayedeliver
 
At least Lampard ni afadhali kidogo kuliko yule Mbeba mizigo
Baada ya mechi Lampoard anasema
  • NImechukizwa sana kwa kupoteza mechi yangu ya kwanza baada ya kurudi
  • Wachezaji hawakucheza kwa ukatili kwenye hio mechi
  • Wachezaji wanatakiwa kujua kuwa kuichezea Chelsea ina maana gani?
  • Ina maanisha nini kuvaa beji ya Chelsea
  • Mashabiki watataka kujua hayo
FtOT9jIWAAASXjD
Lampard aache wenge. 'What playing for Chelsea means....' kivipi tena? Chelsea siyo Manchester United ama Liverpool ama Arsenal waseme wana identity pale England. Ni timu tu ilipata bilionea mwenye malengo akaleta makocha na wachezaji wazuri akapata matokeo. Kocha aliyeshindwa kudeliver alipigwa chini chap Kwa haraka. If anything, Chelsea inatambulika ulimwenguni kama team ya mercenaries wala siyo timu yenye passion wala burudani wala lolote la maana. Hivyo akisema eti wachezaji watambue Nini maana ya kuchezea Chelsea, labda amaanishe kuwa mercenaries.
 
Identity unayoizungumzia ni ipi mlevi wewe,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Ujio wa Frank Lampard utakuwa na adhari gani kwenye uchezaji
  1. Timu itakuwa inashambulia sana na kufunga sana
  2. Mpira mzuri utacheza wa haraka na kasi na direct
  3. Tutegemee pia kufungwa magoli yua kijinga jinga na pia kupoteza points za kijinga jinga
Ayo yote alishindwa kuyafanya everton?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom