Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Conte achelewi kuchafua hali ya hewa na yeye alikuwa source mpaka tunastruggle kupata striker baada ya kumuuza Diego Costa
Diego alistahili kwa kukosa nidhamu
Arteta alifanya hivyo hivyo hasa kwa Auba na Arsenal ikapona
Kuwa mchezaji mzuri haitoi ruhusa kuharibu dressing room
Costa, Hazard na Fabregas walihusika sana Mou kutimuliwa hadi mashabiki wakawakatia majina ya "three rats", wakati wa Conte Costa alijaribu kumchezea huo huo mchezo Conte akashtuka mapema
Huo mchezo wa kuharibu dressing room naona bado kuna wachezaji wanafanya hayo mambo sasa
TT hakutimuliwa bure, dressing room ilishachafuka na ninyi mnalijua hilo
Potter hata kama sio kocha wa Calibre ya juu lakini alihujumiwa na wachomaji pale dressing room
Potter mlaini kweli kajitahidi kuwasifia "The lads gave it everything" kila baada ya mechi msemo wake ulikuwa ndio huo akidhani ndio wataacha uchomaji pasipo kufanikiwa
Wachomaji pale dressing room nawaambia bado wapo hadi sasa
Tunamuhitaji Arteta wa darajani, atakayeweza kuwaondoa hao wachomaji tubakie na innocent players tuliowanunua watuletee makombe
Mwenye kuweza hiyo kazi mimi namuona ni Conte tu, Luis hataweza au any diplomatic coach hataweza
Agressive coaches like PEP, Arteta, Conte, kama wapo wengine ongeza hapo
Msipoukubali huu ukweli tutaendelea kusoata sana
 
Mechi ya kesho hatutakuwa na hawa wachezaji
  1. Mason Mount - Groin/Hip/Pelvic Injury
  2. Thiago Silva - Knee Injury
  3. Azpilicueta - Head/Face Injury
Wengine wote wako wazima
 
Christopher Viveli alikutana na agent wake wiki 2 zilizopita kule Madrid kwa kumshawishi aje kwenye mradi wa muda mrefu wa Chelsea. Huku ataheshimiwa sana. Kazi imebaki kwa Gavi na agent wake kukubali kuendelea na mazungumzo. Wanadai ujio wa Luis Enrique unaweza kuchochea Gavi kuja Chelsea
Gavi ni very tallented player na hasa kwenye kushambulia. Ni mcheza naweza kumfananisha na Enzo hasa kwenye kuweza kutengeneza nafasi za ufungaji au goal build up

1681222222317.png
 
Conte ndio better kuliko Enrique?! naomba unieleweshe kw angle gani?
Sijui huwa mnaona nini kwa conte ambacho mm sikioni wallah.
Na mpira wake wa kupak basi.
Katika makocha 10 bora kwenye football duniani huyo Luis hata hayupo, wachambuzi zaidi ya 10 niliwachunguza wamemuweka Conte kwenye nafasi ya 4-10. Huyo Luis hata karibu na 10 hayupo. Labda Luis Enrique atakuwa kwenye 10+ 0r 20+
Makocha bora kwa sasa wanaozungumziwa ni hawa
  1. Pep Guardiola
  2. Hansi Flick
  3. Jurgen Klopp
  4. Thomas Tuchel
  5. Antonie Conte
  6. Carlo Ancelotti
  7. Diego Simeone
  8. Mauricio Pochettino
  9. Jose Mounrinho
  10. Zinedine Zidane
 
Huyo Pichettino ana kitu gani hasa? Na huyo Zidane labda ni kwakuwa ya vile vikombe alipata
Katika makocha 10 bora kwenye football duniani huyo Luis hata hayupo, wachambuzi zaidi ya 10 niliwachunguza wamemuweka Conte kwenye nafasi ya 4-10. Huyo Luis hata karibu na 10 hayupo. Labda Luis Enrique atakuwa kwenye 10+ 0r 20+
Makocha bora kwa sasa wanaozungumziwa ni hawa
  1. Pep Guardiola
  2. Hansi Flick
  3. Jurgen Klopp
  4. Thomas Tuchel
  5. Antonie Conte
  6. Carlo Ancelotti
  7. Diego Simeone
  8. Mauricio Pochettino
  9. Jose Mounrinho
  10. Zinedine Zidane
 
Hamna mchezaji hapa, huyo ni Spanish Gallagher
Christopher Viveli alikutana na agent wake wiki 2 zilizopita kule Madrid kwa kumshawishi aje kwenye mradi wa muda mrefu wa Chelsea. Huku ataheshimiwa sana. Kazi imebaki kwa Gavi na agent wake kukubali kuendelea na mazungumzo. Wanadai ujio wa Luis Enrique unaweza kuchochea Gavi kuja Chelsea
Gavi ni very tallented player na hasa kwenye kushambulia. Ni mcheza naweza kumfananisha na Enzo hasa kwenye kuweza kutengeneza nafasi za ufungaji au goal build up

View attachment 2584496
 
Roger Schmidt ama Marcelo Gallardo ndio makocha wanao faa kuja Chelsea. Hao ni top kocha japo hawana umaarufu.
 
Katika makocha 10 bora kwenye football duniani huyo Luis hata hayupo, wachambuzi zaidi ya 10 niliwachunguza wamemuweka Conte kwenye nafasi ya 4-10. Huyo Luis hata karibu na 10 hayupo. Labda Luis Enrique atakuwa kwenye 10+ 0r 20+
Makocha bora kwa sasa wanaozungumziwa ni hawa
  1. Pep Guardiola
  2. Hansi Flick
  3. Jurgen Klopp
  4. Thomas Tuchel
  5. Antonie Conte
  6. Carlo Ancelotti
  7. Diego Simeone
  8. Mauricio Pochettino
  9. Jose Mounrinho
  10. Zinedine Zidane
Aliewapanga hivyo ni nani? na wamepangwa hivyo kimafanikio, ki uwezo au? nilitegemea ungekuja na statistics ya hao makocha wawili Conte Vs Enruque. Ila iyo ya kuwapanga makocha tu hivyo hata mimi naweza nikawapanga wangu No.1. Lampard No.2 Potter ........n.k
Conte na Puchetino cjui hata wameingiaje kwnye hiyo list, hata zidane pia ni basi tu upepo ulimpitia. Hata Tuchel ni suala la muda tu pale Bayern atatimuliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom