Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard ni mpuuz, kuna wachezaji hawafai kuwa hat kwenye bench, ila utashangaa ndi 1st 11 yake Gallager, challobar, Havertz.
Bora hat Potter kuliko hii kiazi
Siku naleta habari za Enrique kuwa ana mazungumzo na Chelsea FC kukabidhiwa timu ainoe pia niliona hiyo taarifa ya Lampard kuja kuwa Kocha wa mpito Chelsea FC, sikuhangaika kabisa na taarifa za Lampard maana nakumbuka nilinusurika kupatwa BP na kisukari enzi za akina Havertz na Wenner

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wachezaji wanamuhitaji kocha sahihi. Akina Boehly wakikosea kusajili kocha wa msimu ujao, tujiandae tena kulia na kuanza kumfikiria kocha mwingine
  1. Tunamuhitaji kocha wa kuja kubadili mindset ya wachezaji
  2. Kocha mwenye uwezo wa kung'amua nani hafai ili auzwe
  3. Kocha mwenye kuweza kuwataka wachezaji wachezeje na wacheze kama kocha atakavyo - A demanding coach
  4. Kocha mwenye mamlaka juu ya wachezaji zaidi ya matajiri wa timu, tukimpata kocha Puppet kama Potter tumeisha
  5. Kocha mwenye uwezo wa kuwatumia kikamilifu akina Datro Fofana, Madueke, Felix, Havertz, Enzo, Mudryk, Mount nk hao wote ni hazina ya Chelsea na ni wachezaji wazuri ila ni kama watoto yatima wasie na baba
Hali tuliyonayo sasa lawama zote zinaenda kwa Boehly na Wenzake, wanapenda sana PR,
Huwe mtimua TT na ukamleta Potter Then Lamps.
Roman hakuwah fanya ujinga wa hivi

Timing aliyofukuzwantuchel haya ndio madhara yake yani sahiv tunaonekana kama kichekesho
 
Kocha mkali ambaye haendekezi nonsense ndio anatakiwa pale Chelsea ,hii tabia ya kuendekeza upumbavu dressing room na mbinu mbovu ndio imeleta huu ulemavu wa akili kwa wachezaji , wachezaji hawana mentality ya kushinda game ,wanacheza as if wamelazimishwa na mbinu ni mbovu ,no winning plan ,wanacheza as if chandimu sijui ,inakera sana ,hii the boys have everything ni upuuz ,angalia ni nonsense coaches kama Arteta , yule ni mkali dressing room na hataki mzaha hata kidogo na uwanjani hivyo hivyo ,hata kwenye mazoezi ,kuna clips anawafokea wachezaji wapuuz live ,huyu ndio coach sasa ,hata Guardiola ni hivyo hivyo .
Lampard idiot Hana uwezo kiakili na kimbinu kumanage hii timu ,sijui Boehly alikuwa anafikiria nini ,aisee
 
Ndio maana mimi namtaka Conte ila wengine hawaoni tatizo ni kubwa tena sana
 
Hawa wachezaji wangekuwa chini ya Conte wengi wangechezea makofi kabisa ,maana upuuz ni mwingi
 
Umezunguka halafu mwishoni unataja hazina zenu unamuweka havertz huyu jamaa lile goli lake la uefa linawatia upofu ila hana ukali huo wa kumtarajia alete makubwa. Tatizo ni mashabiki pia
Mchezaji kama Havertz kakosa kuwa chini ya kocha mzuri na sahihi kama unajua football. Kocha wa kuweza kumkemea aache kucheza kwa kuzinzia na ulegelege mwingi.
 
Ndio maana mimi namtaka Conte ila wengine hawaoni tatizo ni kubwa tena sana
Kabisa Conte pale Tottenham angeifikisha mbali ile timu ila mentality ya Daniel Levi ni so poor , hana njaa na makombe ,
 
Kwa nini tunasema Boehly ni tatizo?
Boehly na wenzake ila hasa Boehly. wanamtaka mtu ambaye watamtumia kama Raba Stamp tu ila dereva halisi wa timu ni Boehly. Wale wooote walioajiriwa wamewekwa pale kutengeneza oganogram ya kwenye makaratasi tu
Ili hilo litimie walianza hivi
  1. Waliwatimua wale magwiji wote wa Roman, tatizo lilianzia hapo kuanzia kwa President Bruce, Marina, Petr Cech
  2. KIsha wakamfungashia virago Head Coach ambaye alikwisha onyesha dalili za kutokubaliana naye kwa maamuzi ya kijinga kama ile ya kumleta Ronaldo
  3. Sasa baada ya Puppet wao Potter kushindwa kazi wakamleta Lampard kama Care Take, hapo sijui walilenga nini wakati Kocha mpya ndio muda wake muafaka huu ili azoeane na wachezaji
  4. Wako kwenye mchakato wa kumsajili kocha mpya na nafikri kigezo kikubwa kwa kocha mpya ni ya upapet kama wa Potter, Watajitahidi kumsajili kocha mzuri ila ambaye hawezi kuwapinga hata kama wao mawazo yao hayafai
Ili kukomesha hayo mashabiki hasa wale wa Uingereza wagome kuingia uwanjani hadi Boehly na wenzake wajiuzulu kwenye nafasi za kiutendaji
 
Shida iko kwa wachezaji tutalaumu na kubadili makocha kila uchwao ila inshu ni wachezaji. Tuna wachezaji wa kawaida sana, Havertz, Sterling, Gallagher, Chek, Felix na wengine wengi tu ni wachezaji wa kawaida sana
 
Mchezaji kama Havertz kakosa kuwa chini ya kocha mzuri na sahihi kama unajua football. Kocha wa kuweza kumkemea aache kucheza kwa kuzinzia na ulegelege mwingi.
Tuchel kocha mbaya?
 
At least Lampard ni afadhali kidogo kuliko yule Mbeba mizigo
Baada ya mechi Lampoard anasema
  • NImechukizwa sana kwa kupoteza mechi yangu ya kwanza baada ya kurudi
  • Wachezaji hawakucheza kwa ukatili kwenye hio mechi
  • Wachezaji wanatakiwa kujua kuwa kuichezea Chelsea ina maana gani?
  • Ina maanisha nini kuvaa beji ya Chelsea
  • Mashabiki watataka kujua hayo
FtOT9jIWAAASXjD
 
Huyo Van Der Sar alistaafu na utamu wake wa kudaka mpira hadi roho iliniuma, Man Utd wana bahati sana za kupata makipa bora tangu enzi za kina Peter Schmeichel.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kuna mechi ya ngao ilikuwa kati ya Edwin van der sar vs Chelsea
Alipangua penati tatu zote ikiwepo ya kocha la dunia lampard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom