Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Tuna imani nayeClueless boehly anatakiwa aelewe kuwa football ni tofauti na baseball..huyu jamaa toka aje naona kabisa katuvurugia chelsea yetu na bado anaendelea kuivuruga kibaya zaidi hatambui kuwa anazidi kuivuruga kwa kuturudishia lampard.
No disrespect, yes lampard is a chelsea legend ila sio kocha mzuri bado ni armature coach anayetakiwa akae chini ya makocha wakubwa ajifunze tactics , team management etc
Ni mfia chelsii,mzalendo wa kweli
Lampard mi
mingine.







