Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lawama zote kwa Toddy

20230410_081449.jpg
 
Last time nimeingia humu hii ndio ilikua comment yangu ya mwisho baada ya Lampard kupewa kibarua. Kiukweli hii thread imekua chungu sana kwangu naumia na moyo wangu na sina la kufanya. Sijui kwanini tunapitishwa hiki kipindi. Kwamba siku za neema ndio zimekwisha kabisa Daaah!!

Thread huwa naipita kama naaga maiti msibani hasa siku za mechi. Kukitulia kama hivi ndio nakuja
Kaka sisi imani yetu ipo kwa Super Frankie

Ni legend
Ni kijana
Ana uchungu na timu
Aaminiwe aongezewe mkataba

#Lamps tuvushe kiongozi wetu
 
Kumfanya neymar awe anapress si kazi ya kitoto kama hauna command Tuchel mwenyewe kashindwa pale psg. Enrique ni command kocha kama humfahamu vizuri
Luius Enrique ni kocha mzuri ila we deserve a better coach than him, tumenyanyasika sana, tumetumia pesa nyingi kufanya usajili. Kwa sababu hiyo tunahitaji Kocha wa profile kubwa zaidi ya Luis
Itakuwa very westful kama tatizo la Chelsea litaendelea kuwa upande wa kocha
 
Kwa hiyo kw maoni yako kocha unaefikiri better than him ni nani?
 
Luius Enrique ni kocha mzuri ila we deserve a better coach than him, tumenyanyasika sana, tumetumia pesa nyingi kufanya usajili. Kwa sababu hiyo tunahitaji Kocha wa profile kubwa zaidi ya Luis
Itakuwa very westful kama tatizo la Chelsea litaendelea kuwa upande wa kocha
Kea ambao wapo sokoni yupi unaona ni Bora kuliko luis Enrique?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom