lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Penalti ya pili ilibidi Potter ainamishe kichwa, kashtuliwa na msaidizi wake kuwa ni goli ndipo akaamuka kushangiliaUkiangalia pia hajiamini kabisa yani timu imemzidi uwezo anachofanya ni kubahatisha tu mpaka mechi inaisha alikuwa na presha kubwa mno
