James hajarudi kwenye form
Chilwell huyoo kwenye form
Sasa rasmi Potter arudi kwenye 343 na aache mapenzi na wachezaji wa mbele ambao hawatupi magoli
3-4-2-1 kwenye EPL
-------------------Felix au Havertz--------------------
Mudyrk au Mount -------------------- Sterling au Madueke
Chilwell ----- Enzo/Kovacic------ Kante /Kovacic---- James
Badiashile au Cucurela ------- Koulibally/Silva -------Fofana
---------------------Kepa au Mendy -----------------
Hii timu itufikishe nafasi ya 5 au 6 ili tucheze na kubeba Europa
Mwaka unaofuatia tunabeba UEFA
Huo ndio utamaduni wetu
3-4-2-1 kwenye UEFA
-------------------Felix au Havertz--------------------
Mudyrk au Mount -------------------- Sterling au Felix
Chilwell ----- Enzo/Kovacic------ Kante /Galagher---- James/Azpi
Cucurela/------- Koulibally/Silva -------Fofana
---------------------Kepa au Mendy -----------------