🤣🤣🤣🤣🤣Hizo nyingine ni wishes na tambo tu za hapa na pale kuongeza heat ya mchezo lakin toka first leg borrusia walikuwa wamezidiwa pakubwa tu ila bahati ikawabeba na bahati huwa haiji mara mbili.
Ila mngetolewa ingependeza.
🤣🤣🤣🤣🤣Hizo nyingine ni wishes na tambo tu za hapa na pale kuongeza heat ya mchezo lakin toka first leg borrusia walikuwa wamezidiwa pakubwa tu ila bahati ikawabeba na bahati huwa haiji mara mbili.
Ila mngetolewa ingependeza.
Potter ni kocha mzuri ila pressure ya timu ndio bado inamsumbuaSisi hatuna cha kufanya tofauti na board members, ila kwa kuangalia Potter anapenda sana aifundishe Chelsea tena kwa dhati kutoka moyoni lakini cha kushangaza hajui aifundishije ili ashinde.
Kwa Chelsea Potter alitakiwa awe kocha msaidizi...Kocha gani anawatetea tu mchezaji ata akicheza chini ya kiwango?
Chelsea inahitaji kocha mnaa ili awafurute michezaji goigoi kama Mount na Kai nk
Picha ya kwanza ilikuwa Chelsea haswa ila hii ya sasa ni changamotoHAPPY BIRTHDAY THE BLUES 1905-2023 (AGE 118yo)
![]()
![]()
Kumbe livakuku ni kibonde ya madirid 😂😂🤣🤣21 feb 2023 Liverpool 2-5 Real Madrid
28 may 2022 Liverpool 0-1 Real Madrid
14 apr 2021 Liverpool 0-0 Real Madrid
6 apr 2021 Real Madrid 3-1 Liverpool
26 may 2018 Real Madrid 3-1 Liverpool
4 nov 2014 Real Madrid 1-0 Liverpool
22 oct 2014 Liverpool 0-3 Real Madrid
10 mar 2009 Liverpool 4-0 Real Madrid
Hawakukupa tuzo yoyote ya utabiri bora Chifu?Mtashinda 2:0 niamini mimi

Rasmi sasa tuna imani na potter
Potter mikumi kabisa

Kiujumla tulibebwa kwa bahati tu na umahiri wa Wachezaji binafsi lakini Kocha hana lolote jipya.Jana Chelsea tulishinda 2:0 ila ukweli ni kwamba tulicheze bila formant au formular inayo eleweka, wakati wachezaji wetu ni wazuri, tulivamia mlago wa opponent vagarabagara bila kujua mfungaji wetu atakua nani, ndo maana tunakosa sana magoli kila mchezaji hajiamini kwamba yeye ndo arafunga anashutukizwa tu.
Huyu kocha wetu hana uwezo wa tactical futibali anabebwa na hao wachezaji. Hata nusu fainali tuna weza kufika hivo hivo kwa kubahatisha.
Hatukucheza vizuri ila tulipata matokeo muhimu.
Sterling anaweza asianze..kocha kasema kwenye pre match conference kuwa alihisi maumivu kidogo ya harmstring hata mazoezini hakuwepoChelsea vs Leicester City
3-4-2-1 kwenye EPL
-------------Havertz----------------
Mudyrk -------------------- Sterling
Chilwell ----- Enzo---- Denis--- Cheek
Badiashile ----- Koulibally------Fofana
---------------Kepa -----------------
Nisiwe mzembe kivipi? Angeshinda ile game ya uefaTuchel hajafutwa kazi sababu ya matokeo mabovu anayo pata ama kipigo cha GNK Dinamo. Fuatilia mambo ujue, usiwe mzembe kiasi hicho.
TT hajafukuzwa kwasababu ya matokeo mabaya bali maono ya boss yalikinzana na TT ndio maana wakamuona hataendana na project yaoNisiwe mzembe kivipi? Angeshinda ile game ya uefa
Hii Madrid hata wajipange wenyewe halafu bench akae hata Nacho kwa Chelsea hii ya Potter tunatoka kwa tofauti ya magoli mengi tu. Tunajitahidi kuishangilia Chelsea kwa sababu ndio ishakua ila huyu kocha anakata moto kabisaReal Madrid ya sasa hivi haifanyi vizuri, imepoteana, Ancelotti yuko kwenye kikaango