Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,836
Shida sio wachezaji bali kocha hajielewi tuWachezaji leo wamethamini jezi ya blue wamejitoa kweli kweli hongera kwao hivi ndivyo wanatakiwa wafanye pia kwenye Epl
Ya nini kuwa na mchezaji wa hivyo, kuna pasi moja alitakiwa atoe badala ya kutoa yeye akaendelea kukaa na mpira na angetoa lingekua goli, na pulisic nae hivyo hivyo. Pasi ambayo hata huku kwnye ndondo zinapgwa sana.Zakaria ni mchezaji mzuri kama utaangalia katika angle yake ya kiungo mkabaji anaitendea haki ila kwenye ushambuliaji sio sehemu yake ndio maana unaona anakuangusha
Kocha anabebwa na uwezo wa wachezaji, kocha mweupe kabisa kichwani. Angalia hat sub alizofanya ndio utajua tuna kocha wa namnaganiShida sio wachezaji bali kocha hajielewi tu
Ndio hivyo si kila kitu utapewa Zakaria ni mkabaji mzuri sana ila creativity ndio hanaYa nini kuwa na mchezaji wa hivyo, kuna pasi moja alitakiwa atoe badala ya kutoa yeye akaendelea kukaa na mpira na angetoa lingekua goli, na pulis na hivyo hivyo. Pasi ambayo hata huku kwnye ndondo zinapgwa sana.
Mtashinda 2:0 niamini mimiKwa hii timu na mwenendo wa sasa ,sidhani aisee , Dortmund wako serious misimu huu ,wametoka kumbobda RB Leipzig goli za kutosha bundesliga ,RB Leipzig aliyemdhalilisha city
Sisi litimu linacheza kama la walevi wa gongo
Ukiangalia pia hajiamini kabisa yani timu imemzidi uwezo anachofanya ni kubahatisha tu mpaka mechi inaisha alikuwa na presha kubwa mnoJana Chelsea tulishinda 2:0 ila ukweli ni kwamba tulicheze bila formant au formular inayo eleweka, wakati wachezaji wetu ni wazuri, tulivamia mlago wa opponent vagarabagara bila kujua mfungaji wetu atakua nani, ndo maana tunakosa sana magoli kila mchezaji hajiamini kwamba yeye ndo arafunga anashutukizwa tu.
Huyu kocha wetu hana uwezo wa tactical futibali anabebwa na hao wachezaji. Hata nusu fainali tuna weza kufika hivo hivo kwa kubahatisha.
Hatukucheza vizuri ila tulipata matokeo muhimu.
Wao wenyewe hawatamani wakutane na Chelsea.Mara paap.. Real Madrid.
![]()
Wao wenyewe hawatamani wakutane na Chelsea.
real ayuko upande we2Mara paap.. Real Madrid.
![]()
Kisa kamfunga yule kibonde 7 wewe mpira huujui madrid team pekee inayoweza kumtoa UEFA ni chelsea pekeeMna jifariji sana
Huna uwezo wowote kwa sasa
Liva anamtoa Madrid