Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,696
Yaani takataka kai ni bora angeuzwa msimu ule alipouzwa Timo Werner , Tulifanya makosa kumuuza Timo ,Timo alikosa tu confidence baada ya kupata majeraha ila angerudi akapewa muda angekuwa abauwasha moto sasa hivi , huyu Kai ni ovyo kabisa , nguvu ,kasi ubunifu zero ,vitu ambavyo Timo alikuwa navyo ,pumbafu sana huyu dogo , KAi ni mshambuliaji wa kutengewa mipira yeye kutap in , kitu ambacho kwa mpira wa sasa huyu ni useless playerNa kama amepewa majukumu ya kupiga penalty inamaanisha KAI atakua anacheza mechi zote


