Jana Fofana kapigana sana, huyu ndie mfano halisia wa mchezaji anayestahili kuvaa jezi ya Chelsea
Kule nyuma mabeki walitulia vizuri. Sikuwa na shida ya performance ya Kou na Badi
Chilwell anaanza taratibu kuja kwenye form yake ya uwezo wake wa kupokea mipira mbele kwenye maeneo ya hatari kwa timu pinzani. Kuna nyakati kama mbili au tatu Chilwell alikuwa kwenye best position anaomba mpira ila kama kawaida ya wachezaji wetu kila mtu anataka awe shujaa.
Havertz sijui ana matatizo gani, clinicality yake siku hizi hata wale wa Championship wanamzidi mbali sana. Ile chance yake ya jana angewahi kumpelekea kipa mp[ira wa juu lile lilikuwa ni cool goal, ila kamfuata kipa hadi amemfikia karibu ndio=po anajifanya super star
Wachezaji wangekuwa makini jana tungetoka na goli 4 au 5-0