42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Lakini leo tunacheza mfumo tofauti na siku zingine kama mmenote.Leo Have
Leo Havertz kajitutumua hasa dakika 15 za mwisho first half ,kwanini huwa halitii bidii hivi kwenye Epl ?
Lakini leo tunacheza mfumo tofauti na siku zingine kama mmenote.Leo Have
Leo Havertz kajitutumua hasa dakika 15 za mwisho first half ,kwanini huwa halitii bidii hivi kwenye Epl ?
Cry moreHongereni kwa robo final
Ingawa penalty imepigwa mara 7
Dah!!
Mjinga kapata penaltyMjinga kakosa penalty
Hata Cucurella Leo kacheza vzuri na tena Kapewa MOTMNiwe mkweli leo Kai havertz kajitoa ile mbaya mnyonge haki yake mpeni
Zakaria ni mchezaji mzuri kama utaangalia katika angle yake ya kiungo mkabaji anaitendea haki ila kwenye ushambuliaji sio sehemu yake ndio maana unaona anakuangushaZakaria ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea.
Leo koly kacheza viziri sanaa. Sijui Kwa nini kocha hamtumii mudryk?
Sijawahi kumwelewa huyo Zakaria tangu dunia iumbweZakaria ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea.
Leo koly kacheza viziri sanaa. Sijui Kwa nini kocha hamtumii mudryk?

Yah Cucurella kakiwasha wakiendelea kuonyesha viwango kama hivi criticizes zitapungua kwaoHata Cucurella Leo kacheza vzuri na tena Kapewa MOTM
Jiandae kumkataa mechi ijayo nimekaa paleNiwe mkweli leo Kai havertz kajitoa ile mbaya mnyonge haki yake mpeni

Kabisa fighting spirit ya hali ya juuWachezaji leo wamethamini jezi ya blue wamejitoa kweli kweli hongera kwao hivi ndivyo wanatakiwa wafanye pia kwenye Epl