Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa navyoona inawezekana wachezaji wenyew hawamkubali kocha yani wanacheza kama sio professionals kabisaa
 
Mimi niko kwenye comfort zone, ni lifanya maamuzi ýangu mwenyewe ya kutojiumiza hisia zangu, siwezi kutizama mechi yote ya the Blues mpaka pale Harry Potter atakapo timliwa kwasbb mimi huyu simuelewi kabisa, kocha gani ambaye hana first eleven, kocha gani ambaye hana match reading ya haraka na kurekebisha kocha gani ambaye hana mbinu au tactical za soccer, huwezi kujua hata system yetu tutakao cheza ana bahatisha anataka wachezaji wambebe.

Nyie mnao subiria project, process ya Potter mtaendelea kuumia, sijauliza hata matokeo kwasbb nayajua draw au loss potter ndo anao uweza, siwezi kuangalia match ya Chelsea tena sitaki stress mpaka pale potter atakapo timliwa, huyu potter hata umpe miaka mitano hawezi, kwasisi ambao tunafuatilia premier kwa zaidi ta miaka 20, huyu potter ni clueless hana mbinu.....mashabiki pole sana kwa maumivu ila mnajitakia wenyewe kwasasa, mimi nangalia Liverpool na Newcastle pool imeanza recover points kwabb ya kocha wao mzuri licha cha wa chezaji wao kua wachovu, sisi tunaendelea kushuka kwasbb tuna wachezaji wazuri bila kocha muzuri.
 
naulizaaa huyo mfinyanzi bado yupo???
20230101_014613.jpg
 
Wanangu wa Chelsea msiumie kwenye EPL hii tunaita "NEW MANAGER BOUNCE"

Sisi alitupiga Unai Emery na Villa yake, yani kama uchawi vile. Arsenal na form yao wakapigwa na Sean Dyche tena akiwa na Everton.

EPL huwa naogopa mechi ya mapema na kukutana na kocha mpya. Arsenal kashinda leo mechi ya mapema ila kwa mbinde.
Kwa mbine chuma 4 acha masialaa
 
Kama Boehly karidhika na Potter sisi nani, tuishi kwa matumaini tu
Kwa mechi ya leo wakiendelea kubaki naye, basi Boehly katumwa kuimaliza Chelsea
Boehly huyu Yankee cowboy yawezekana ni agent WA CIA , aliyetumwa kuzika hii club , trust me ,ile kuspend mapesa ni Geresha tu , huwezi spend pesa vile halafu uiache timu icheze kipumbavu hivyo na hakuna development yoyote wala achievement
 
Toddy alikurupuka kumfukuza Tuchel ,that was a terrible mistake ,na itatucost dearly , unamuondoa Tuchel unamleta potter ,are you nuts ? ,,
Hakuna kitu kiliniuma kama Tuchel kuondolewa, ad nikaja kulia huku jukwaani na kwenye pages za Chelsea. ht Hazard kuondoka haikuniuma kama hii ya Tuchel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom