Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Gp
Screenshot_20230218-223749.jpg
 
Tofauti ya Chelsea na anayeongoza ligi ni points 23
Tofauti ya Chelsea na anayeshika mkia ni points 13
Tofauti ya Chelsea na top 4 ni points 10
Tofauti ya Chelsea na relagation ni points 11
We are a complete mid-table team at least for now
Mech 4 zilizopita za league tulikuwa na uwezo wa kupunguza gap na top 4. Ila kwa potter sion tukifanya hivyo.

Mechi 3 zijazo sioni tukishinda, kocha ambae anakubal kufungwa sikocha huyu
 
Boehly huyu Yankee cowboy yawezekana ni agent WA CIA , aliyetumwa kuzika hii club , trust me ,ile kuspend mapesa ni Geresha tu , huwezi spend pesa vile halafu uiache timu icheze kipumbavu hivyo na hakuna development yoyote wala achievement
CIA waiuwe Chelsea ili iweje sasa
 
Nao washabiki wa kiingereza ni wakabila sana
Huyu Potter angekuwa sio mwingereza mashabiki wangejazana pale darajani kushinikiza afukuzwe
Wangejiunga kugomea kununua tickets au mauzo yeyeote ya timu hadi huyu kubwa jinga afukuzwe
Lakini wamejitoa ufahamu kwa sababu ni mwenzao
FpSosLfXwAAMwVD
 
Hata Tuchel angebaki bado hii timu isingeperform

Mashabiki tunapenda kuishi kwa 'Ange' nyingi.

Tuchel amefukuzwa akiwa kagewa pesa za kusajili na akiwa kasajili mabeki wakina Koulibaly na wenzake, online zikatembea trolls za kikosi cha chelsea kimesheheni mabeki.

Am simply saying chelsea tayari ishaelekea shimoni, kwakua mashabiki wake huamini kusajili ni dawa tajiri miluzi hakuwaangusha, akasajili kila aliyesikia anasajiliwa ila shida inakuja ya kutansform mtu wa kwenye makaratasi azalishe kitu uwanjani

Niliwahi kusema Mudryk siyo lethal finisher 100%, sawa sawa na Mount, Kai, Felix, Madueke lethal finisher ni Auba ambaye kiwango chake ni hovyo. So ishu ya Chelsea ni striker ila hivi viazi vikaamini suluhu ni kuwaleta wakina Badishile

Y'all are just POS. Jitahidini kutumia akili.
 
Hayo ni maoni yako, lethal utengenezwa. Siku miongoni mwa uliosema siyo lethal wakifanya vizuri unarudi tena na stories zingine.
Kuna watu wanafanya kazi ya utambuzi zaidi yako huko Chelsea, kila timu inayumba na baadae inakaa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom