Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aaarrrgghhh nilewe tu
JamiiForums1067303014.jpg
 
Potter hamna kocha hapa siku atakapoondoka na akaja kocha wa kueleweka ndio siku tutafaidi hawa wachezaji.

Villa Boas alikuwa mbovu ila sio kiasi hichi.
Kiukweli leo hii Chelsea imenikatisha tamaa kabisa kuiangalia kwa kile inachokicheza uwanjani.

Wachezaji hawana;

Morality.

Consistency.

Hawajitumi kabisa.


Clear formation.


Wakuu huyu HP ni wakala wa kuiharibu Chelsea nini? Daaah
 
Nilitegemea leo tutaanza pale tulipoishia j5 dhid ya Dortmund, ndio kwanza tumeanza upya.

Potter has to go,

Kwa style hii hata hatutofika popote hata kwa long term akiwepo. Performance kama gari la mkaa trip shamba garage miezi.

Kocha ambae hajawah shinda kombe lolote ni mzigo, tumespend 600M halaf short term inaonekana ngumu je hiyo long term nayo ndio itawezekana kwa kocha huyu?.

Hakuna nuru yoyote inayoonekana huko mbelen akiwepo huyu sana tutajikuta mid table team
 
Kiukweli leo hii Chelsea imenikatisha tamaa kabisa kuiangalia kwa kile inachokicheza uwanjani.

Wachezaji hawana;

Morality.

Consistency.

Hawajitumi kabisa.


Clear formation.


Wakuu huyu HP ni wakala wa kuiharibu Chelsea nini? Daaah
Kocha yupp tu kama msimamizi vile hakuna chochote anachokifanya,

Miezi 5 now nahakuna mwanga unaonekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom