Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
Kesho mapema muende kwa Mwamposa mkapakwe mafuta na maombi
Nilichagua kuangalia game ya Forest na City nilikua na uhakika huyu kwa Soton hachomoki kama sisi mabingwa watarajiwa tulisuluhuWangetuachia tu Mudy wetu wazee tubebe naye kombe. Sasa dogo hana furaha, mechi hawashindi, balaa tupu



Chuck Norris anabanduliwa tuu 😂
Cry moreMm ni shabiki wa Chelsea lakini sema ukweli nafurahi sana tunavofungwa.
Tutashinda mechi za mazoeziniSaa msimu huu tutashinda mechi ipi?!
Pole sana mkuu naona umeongea kwa uchungu mno ukweli ni aibu kubwa kwa kinachoendeleaKocha hamna hapa, hatujui tunacheza nini yani tangu amekuwepo hakuna mchezaj yeyote aliyeimprove chini yake.
Wakina Arteta,Klopp walihitaji mda kwa sababh team zao zilikuwa hazisajil kama sisi. Na hata kabla hawajasili matikeo yalikuwa yanaonekana sqsa huyu mpuuzi wa kingereza hana lolote huyu.
Villa Boas,Di matteo,Avram Grant hawa wote walikuwa wabovu ila hawakuwa na mentality ya kiloser kama ya huyu mpuuzi.
Hata hiyo long term project hatutofikia malengo kama Potter bado atakuwa kocha