juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Unamtoa Datro Fofana unamuacha mount, hapa hakuna kocha na sion kwa aina hii tukiwafunga dortmundKamtoa Datro Fofana kamuingiza Sterling, Kamuondoa Koulibaly kamuingiza Wesley Fofana
Unamtoa Datro Fofana unamuacha mount, hapa hakuna kocha na sion kwa aina hii tukiwafunga dortmundKamtoa Datro Fofana kamuingiza Sterling, Kamuondoa Koulibaly kamuingiza Wesley Fofana
Tatizo yeye na mwenzie Fofana wanacheza show gameMadueke average player, ni sajili nyingine ya kipuuzi.
Nani asiye average under Chuck Norris.Madueke average player, ni sajili nyingine ya kipuuzi.
Inaonekana ni serious injuryDuuh! Azpi isiwe serious injury tu.
Chini ya Potter wachezaj wote tutawaona ni average
Nani asiye average under Chuck Norris.
kocha mbovu lakini hii y madueke ya kila mpira kutaka kukumbia nao na kudribble kwenyew hajui, huo ni ubovu wake mwenyew sio w kocha.Nani asiye average under Chuck Norris.
sijui hata kama huwa wanaangalia mpiraHii faulo upamecano kala umeme , mnasema enzo angecheza faulo juzi asingepigwa kadiView attachment 2521826