Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

😀😀😀
Screenshot_20221023-132547~2.png
 
Kocha na Chelsea yake ni kikundi ya kihuni.. Yaani usajili wote halafu inaangukia pua home.
 
Wanangu wa Chelsea msiumie kwenye EPL hii tunaita "NEW MANAGER BOUNCE"

Sisi alitupiga Unai Emery na Villa yake, yani kama uchawi vile. Arsenal na form yao wakapigwa na Sean Dyche tena akiwa na Everton.

EPL huwa naogopa mechi ya mapema na kukutana na kocha mpya. 😂 Arsenal kashinda leo mechi ya mapema ila kwa mbinde.
 
Kocha hamna hapa, hatujui tunacheza nini yani tangu amekuwepo hakuna mchezaj yeyote aliyeimprove chini yake.

Wakina Arteta,Klopp walihitaji mda kwa sababh team zao zilikuwa hazisajil kama sisi. Na hata kabla hawajasili matikeo yalikuwa yanaonekana sqsa huyu mpuuzi wa kingereza hana lolote huyu.

Villa Boas,Di matteo,Avram Grant hawa wote walikuwa wabovu ila hawakuwa na mentality ya kiloser kama ya huyu mpuuzi.

Hata hiyo long term project hatutofikia malengo kama Potter bado atakuwa kocha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom