Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Wakuuu app ya kuangalia mpora online kwa simu tafadhali sana wakuuu
Tunaye tayari na iNter hawamtaki na hakuna timu itamnunua. Alternatively Chelsea wakubaliane kusitisha mkataba wake kwa kumfidiaLukaku ni wastage of time HAPANA [emoji119]
Usiwe unabisha kitu kabla hujafanya research ya kutosha.Nimefatilia tena sasa hv baada ya comment yako ni kweli aisee. But mwanzo ulikuwa ni uvumi. ,"He was found deed at the rubble of his apartment"
Kikosi kinahamasisha, ngoja tuone kova na enzo ndio option nilikua naisubiria.
Mkuuu hata mbona haifanyi kazi hiii app![]()
60MINS ONLINE | FOOTBALL LIVE STREAM
on.60mins.online
Huyu Potter sasa naona akili zinaanza kumkaa sawa. Ila kamuanzisha bench Mudryk usikute kwa sababu tu alikua hapewi pass na Cucurella.
Acha uzembe. Nimekwambia taarifa ya mwanzo ilikuwa misleading. Kitu ambacho huelewi ni kipi hapo. Au mpaka nikuwekee ushahidi!?Usiwe unabisha kitu kabla hujafanya research ya kutosha.
Tupe ya kwako ambayo ni kweli. No Data No Talk. Au umesahau huu msemo wa wahenga wa kichinaSio kweli
Hata mimi nimeshangaa, na sio kushoot tu hata zile through passes ambazo dangerous leo kazicheza sana. Too badJorginho kumbe anaweza kushoot[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu kwetu alikuwa nimtu wa back pass tu
No need for unnecessary discussion.Tupe ya kwako ambayo ni kweli. No Data No Talk. Au umesahau huu msemo wa wahenga wa kichina
Mimi source yangu hii hapa: Christian Atsu 1992-2023 Chelsea website imethibitisha hayo
Website hiyo mkuuMkuuu hata mbona haifanyi kazi hiii app
Link ya moja kwa moja: Chelsea vs Southampton PreviewMkuuu hata mbona haifanyi kazi hiii app
Tupe ya kwako ambayo ni kweli. No Data No Talk. Au umesahau huu msemo wa wahenga wa kichina
Mimi source yangu hii hapa: Christian Atsu 1992-2023 Chelsea website imethibitisha hayo