Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bahati mbaya tutakutana na ile timu ya UEFA iliyoongezewa Badiashile na Mudryk, Felix naye atakuwa kamaliza ban
Hamna timu ya kuifunga Chelsea ya UEFA
Hii tu yenye majeruhi 11 mlibahatisha kagoli kamoja
Tutawageuza moto mpaka kila miona daraja mapemo yanawainukia
Uzuri wake unaelewa kila kitu
 
Hivi Cheltako ZOA ZOA FC mmeshakutana na Arsenal kweli
Saka hakabiki [emoji91][emoji91]
Xhaka wa moto
Nketiah kashindikana
Trossard kaingia kwenye mfumo
Odegaard ni iniesta mtupu
Msipopigwa 5 nipo pale
Beki kukulela kishingo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

  • 20230116_180808.jpg
    20230116_180808.jpg
    90.4 KB · Views: 14
Kwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini

Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)

Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
Huwezi fananisha mchezaji aliyekwisha prove na anayetarajiwa.. Kipindi messi anachipukia hakuitwa bora ila kulikuwa na matarajio, vipi yangemkuta ya kina diaby?

Mudryk kaonesha ana kipaji kizuri, mchezaji mzuri suala la kkuja kuonesha ubora ni kipengele kingine.
Hazard alikuwa mzuri akaonesha ubora wake chelsea.
 
Tatizo ninyi mmenielewa vibaya hata baada ya kufafanua, inakubalika kabisa kumlinganisha mchezaji kwa slot fulani ya muda. Mimi nilimchukua Hazard wa miaka 22 tu
 
Kuna vitu ambavyo tuliamini haviwezekani lakini Boehly ametuonyesha kuwa vinawezekana
  1. Kuwasajili wachezaji wa first team zaidi ya 6 kwa mara moja, Boehly kasajili 8
  2. Kuwapata wachezaji wazuri dirisha la January ngumu, Boehly kawasajili 6 na wote wazuri
Waliosajiliwa dirisha la kiangazi ni:
  1. Wesley Fofana Raia wa France kutoka timu ya Leicester City kwa dau la €80.4m
  2. Marc Cucurella Raia wa Spain kutoka timu ya Brighton & Hove Albion kwa dau la €65.3m
  3. Raheem Sterling Raia wa England kutoka timu ya Manchester City kwa dau la €56.2m
  4. Kalidou Koulibaly Raia wa Senegal kutoka timu ya Napoli kwa dau la €38m
  5. Carney Chukwuemeka Raia wa England kutoka timu ya Aston Villa kwa dau la €18m
  6. Pierre-Emerick Aubameyang Raia wa Gabon kutoka timu ya Barcelona kwa dau la €12m
  7. Gabriel Slonina Raia wa USA kutoka timu ya Chicago Fire kwa dau la €9.1m
  8. Denis Zakaria Raia wa Switzerland kutoka timu ya Juventus kwa dau la Mkopo
Waliosajiliwa dirisha la january ni:
  1. Mykhailo Mudryk Raia wa Ukraine kutoka timu ya Shakhtar Donetsk kwa dau la €70m
  2. Benoît Badiashile Raia wa France kutoka timu ya AS Monaco kwa dau la €38m
  3. Noni Madueke Raia wa England kutoka timu ya PSV Eindhoven kwa dau la €35m
  4. Andrey Santos Raia wa Brazil kutoka timu ya Vasco da Gama kwa dau la €12.5m
  5. David Datro Fofana Raia wa Ivory Coast kutoka timu ya Molde kwa dau la €12m
  6. João Félix Raia wa Portugal kutoka timu ya Atletico Madrid kwa dau la Mkopo
 
Ukweli mchungu ,kwangu project ya Chelsea naiona mbali ikilipa na kufanya vizuri kuliko project uchwara ya man u

Ila project ya man u watajikuta wanapiga marktime

Ten hag Hana jicho la kuchagua wachezaji , huwez toa €100m kwa Anthony katika ujenzi wa project ,amesababisha Hadi January akose kusajili,

Unajenga timu kwa wachezaji Wana miaka 30+ , Casemiro na Eriksen, Ina maana ndan ya misimu miwili unaanza kuhaha kutafuta backup ,Cycle ya timu kushuka inajirudia

EPL kwasasa Ni ligi yenye intensity kubwa, Liverpool aliingia kwa mazoea dhidi ya Brighton na Midfielders watatu Thiago Fabinho Henderson ,jumla miaka Yao 94

Kilichowakuta wanaelewa

Sasa Hawa ndugu zangu Manchester United hii project Yao tayari kwenye base Kuna 30+ mbili ,
 
Tetesi za leo:
Chelsea wameamua kurudi Benefica kwa kujaribu kumsajili Enzo Fernandez kabla dirisha halijafungwa.
Bado pia Chelsea wanaandaa bid ya pili (kwenye paundi 65M) kwa ajili ya kumsajili Caicedo baada ya bid ya kwanza ya paundi 55M kukataliwa
 
Tetesi za leo:
Chelsea wameamua kurudi Benefica kwa kujaribu kumsajili Enzo Fernandez kabla dirisha halijafungwa.
Bado pua Chelsea wanaanda bid ya pili kwa ajili ya kumsajili Caicedo baada ya bid ya paundi 55M kukataliwa
Mimi nasema Bora Mara Mia Roman sio Toddy

Japo nasikia Toddy Ni chawa tu Kama Eng hersi ,mwenye Mzigo Ni yule mwenzie
 
Hiki kilabu kimeshajifia na watu bado mnapeana moyo wapuuzi kweli nyie
 
Toddy anaelekea £500m Sasa , azuiwe

Chelsea have pin pointed Gusto as Reece James’s backup as Todd Boehly spending nears £500m. (@Matt_Law_DT)
Ujenzi una gharama na hizo pesa zilzishatengwa kwa ajili ya ujenzi wa timu, iko kwenye mkataba ndugu. Ndio maana tunawakumbusha msiache kubeba ndoo msimu huu. misimu ijayo kutakuwa na foleni kubwa, najua PEP atawapigia magoti wale waarabu ili wanunue wachezaji, Manure hatakaa kimya, Liverpool nao hawataacha kuboresha timu. So msipochukua tahadhari mapema. misimu ijayo mtaendlea kuwa underdogs wa EPL mbele wa giants
  1. Chelsea
  2. Man City
  3. Liverpool
  4. Man United
  5. ...?
 
Arsenal haijawahi kuwa underdog kwa hizo timu,, ebu thibitisha apa head to head[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom