Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kumtukana hazard,acha kuwafananisha mara moja wote tunawapenda

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wewe kapime akili yako, nani kamdharau Hazard, kumlinganisha mchezaji ni kumdharau. Sijui wewe unaishije na wenzake au ndio hivi hivi. Nimchemabua vizuri maeneo wealiofanana na maeneo wanaotofautiana at the age of 22
 
Timu iliyojaa matakataka halafu ikabeba UEFA, hapo ndio huwaga mpira wa miguu unaponichanganya sana. Hata hivyo pia ndio umuhimu wa Kante akiwa mzima unaonekana
1320702570.0.jpg
Mendy alikuwa katika kiwango kizuri.
Combination ya Rudiger+Silva+Christiansen.
Kante alikuwa katika kiwango bora.
Azp uwezo bado ulikuwepo.
Chil+James majeruhi yalikuwa bado hayajaanza.

Hii team ilijengwa zaidi kwa ajili ya knockout tu, na si kwa ajili ya kuwa bora michuano yote.
 
Chunkwuemeka na wachezaji wanaofanana naye hawawezi kabisa kucheza na Mudryk, leo kipima joto tuliona. Chunkwuemeka kidogo atapike nyongo

Ebu tuone Felix akirudi na Madueke akianza

Kijana yuko sharp 10X hao waliocheza leo

Ghalagher anyejifanya kurukaruka hadi ananyang'wa mpira

He will be a real threat to all epl teams

Yaani hata asipofunga atafungua milango, madirisha na mageti yaliyofungwa

Natamani sana nione combination yake na hwa inakubali na kuleta magoli ya kutosha
  1. Madueke
  2. Datro Fofana
  3. Havertz
  4. Felix
  5. Nkunku
Yule dogo mbrasil Santos napenda kuona anaanza
 
Mendy alikuwa katika kiwango kizuri.
Combination ya Rudiger+Silva+Christiansen.
Kante alikuwa katika kiwango bora.
Azp uwezo bado ulikuwepo.
Chil+James majeruhi yalikuwa bado hayajaanza.

Hii team ilijengwa zaidi kwa ajili ya knockout tu, na si kwa ajili ya kuwa bora michuano yote.
Bila kumsahau mzee Giroud
Havertz vipi?
Mount vipi?
Kovacic?
Wote hawa sasa hivi wanaitwa takataka, alaumiwe mchezaji au kocha maana kweli Mount na Kova hasa hao wawili nao walikuwa kwenye form nzuri wakati wa TT
 
Chelsea huyu tena wa nn jamn duh,anyways mtajiju naona mshapoteana[emoji23][emoji1787]
FB_IMG_1674402932364.jpg
 
Kwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini

Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)

Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
Msikilizeni huyu mtoto aliyepatikana gesti. Maninaa
 
Kwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini

Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)

Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
Kwamba Hazard hana nguvu? Huu sasa ni ushabiki maandazi na kuendekeza mihemko
 
Wananua mil 5 wanakuja kuuza mil 70 ndani ya msimu mmoja

Hii biashara nzuri sana

Brighton walimnunua Moises Caicedo kwa £6.1m na sasa wanataka £75m. Naona wanamalizia kumnunua kiungo mwingine kwa £5.3m na watabiri wengi wanaona usajili huo kuwa ni replacement ya Caicedo.

Brighton have agreed a deal to sign AIK midfielder Yasin Ayari for £5.3million, which is £0.8million more than what they paid for Caicedo nearly two years ago.
 
Hivi Cheltako ZOA ZOA FC mmeshakutana na Arsenal kweli
Saka hakabiki [emoji91][emoji91]
Xhaka wa moto
Nketiah kashindikana
Trossard kaingia kwenye mfumo
Odegaard ni iniesta mtupu
Msipopigwa 5 nipo pale
Beki kukulela kishingo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi Cheltako ZOA ZOA FC mmeshakutana na Arsenal kweli
Saka hakabiki [emoji91][emoji91]
Xhaka wa moto
Nketiah kashindikana
Trossard kaingia kwenye mfumo
Odegaard ni iniesta mtupu
Msipopigwa 5 nipo pale
Beki kukulela kishingo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya tutakutana na ile timu ya UEFA iliyoongezewa Badiashile na Mudryk, Felix naye atakuwa kamaliza ban
Hamna timu ya kuifunga Chelsea ya UEFA
Hii tu yenye majeruhi 11 mlibahatisha kagoli kamoja
Tutawageuza moto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom