Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mudryk kw dk. chache alizocheza ni mchezaji mzuri sana anatoa pass kw haraka na za uhakika. Mchezaji tumepata. Ila namuonea huruma bora angeenda zake Arse88 mana atakuja kuonekana mchezaji wa hovyo sababu anacheza na matakataka.
Kocha pia nahis ana uwezo mdogo, ndio nn kutuwekea chekwiemeka wakat kuna Datro.
Kwanini wewe usiende hiyo Arsenal
 
Hawa sajili mpya wanatuonesha jinsi gani tunawachezaji wengi wa kawaida kwa dk chache wanatuonesha class ya hali ya juu kuna watu walikuwa wanalalamika kwanini team yetu inasajili mbele tu wanaacha sehemu ya kiungo niwaambie kitu nazani mmejionea wewenyewe hata uko mbele tulikuwa ovyo na uongozi wameona so uongozi wanaposajili wachezaji wapya wengi wameona tunawachezaji wengi wa kawaida kwenye nafasi tofauti tofauti sio tu kiungo pekee.Wachezaji ambao naona wanastahili kuwa chelsea Thiago silva, kante, Kovacic, Benchillwel,RJ na Ziyech pekee watu wanamsema Ziyech lakini huyu Ziyech angekuwa anacheza na mafundi wenzake tusingekuwa tunahoji ubora wake
 
Hivi mnasemaje kacheza vizur, wakat alikua anapokea mipira kutoka backline yupo mwenyewe then anairudisha pasi kama ilivyo ilipotoka. Ni mchezaji wa hovyo sana. cjajua kw nini kova hajaanza leo?
Tunazungumzia mechi ya jana kacheza vizuri sio siku zote, aliyekuwa analoose control ni Lewis Hall. Chuki binafsi weka pembeni aisee
 
Kwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini

Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)

Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
 
Nimewashukuru Arsenal kwa ujumbe huu kwa niaba ya mashabiki wote wa Chelsea

Ndg wana gunners

Kwa heshima na tahadhima napenda kutoa PONGEZI za dhati sana kwa klabu ya Arsenal na mashabiki wake wote na sera yake ile pendwa ya kutoingia kwenye bidding war na timu zingine wakati wa kumnunua mchezaji. Hiyo sera sisi Chelsea tumekuwa wanufaika wakubwa sana na tunaomba kwa mwenyezi Mungu hiyo sera idumu milele na milele.

Jana mlimuona kijana anawatapisha Nyongo akina Milner, Gomez na wenzake. Hata akina Galagher na Chunkuemeka kidogo watapishwe nyongo kwa sababu ya pasi za haraka haraka.

Huyu dogo amekuja kutuondolea ubishi tuliokuwa nao kwamba eti tuna wachezaji class.

Sasa hata pasi za Mudryk hawawezi kupokea, ni Ziyech tu naona wataendana naye.

Kwa hiyo tunatangaza rasmi sasa Ziyech not for sale.

Ujenzi huu wa timu sasa utajengwa chini ya msingi ambaye ni Mudryk, the next Messi and Chelsea Messiah.

Tukimaliza kumsajili RB na viungo wawili, tutazindua rasmi Chelsea kurudi kwenye ligi, sasa hivi tumewaachia tu turekebisha masuala yetu ya ndani.

Kwa heshima nyingi narudia tena kusema asanteni sana majirani zetu, mlichokifanya hakitasahaulika pale darajani.

London is Blues and Blue forever.
 
Kwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini

Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)

Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists

Dogo ni mzuri. Nilimpenda jana zile dakika alizocheza. Inabidi atulie mpira imkae vema. Ameonesha uhai. But level ya hazard bado mkuu[emoji23][emoji23]. Ngoja tusubiri kwanza[emoji1666]
 
Chunkwuemeka na wachezaji wanaofanana naye hawawezi kabisa kucheza na Mudryk, leo kipima joto tuliona. Chunkwuemeka kidogo atapike nyongo

Ebu tuone Felix akirudi na Madueke akianza

Kijana yuko sharp 10X hao waliocheza leo

Ghalagher anyejifanya kurukaruka hadi ananyang'wa mpira

He will be a real threat to all epl teams

Yaani hata asipofunga atafungua milango, madirisha na mageti yaliyofungwa

Natamani sana nione combination yake na hwa inakubali na kuleta magoli ya kutosha
  1. Madueke
  2. Datro Fofana
  3. Havertz
  4. Felix
  5. Nkunku
Nahisi pale 9 akae Datro Fofana, maana anavitu vingi na anaweza elewana na hawa
Felix na Mudryk wataelewana sana
 
Kuna uwezekano mkubwa tukamchukua huyu Malo Gusto. kama pair wa James

FnBfVCUXoAAI26R
Hapa itapendeza.
Malo Gusto ni mzuri sana
 
Hapana, anajaribu kuonesha Silva age yake na msim uliopita kacheza game nyingi tu katika kiwango kile kile. Na msimu huu yuko vile vile tena ndio anazidi kuperform.

Njok sasa kwa mount kusema kigezo sijui kacheza game nyingi msimu uliopita ndio kifanye ashuke performanc yake hapana
Labda hukunielewa Mzee..na sipo kumtetea mount nilikuwa Namaanisha kuwa mount misimu miwili iliyopita ukijaribu kufuatilia game Karibu zote alikuwa anacheza si ligi, carabao na FA, uefa kote huko lzm apate dakika hata km si 90...thiago unakuta game ndogondogo za carabao au FA hachezeshwi, ili kummonitor
 
Kante akirudi tutacheza hivi 4-1-4-1

-----------------Datro Fofana-------------

Mudryk ----- Felix ----- Madueke ----- Ziyech

--------------------Kante-----------------

Chilwell ----Badiashile -----Silva----- James

--------------------Kepa-----------------

Kwenye hiyo formation hawa watasota sana benchi labda kutokee majeruhi
  1. Sterling
  2. Mount
  3. Havertz
  4. Kova
  5. nk
Hakuna balance hapa,

Yani hapo lazima kuwe na mid wawili.

Ziyech na Madueke hawawezi anza pamoja
 
Hawa sajili mpya wanatuonesha jinsi gani tunawachezaji wengi wa kawaida kwa dk chache wanatuonesha class ya hali ya juu kuna watu walikuwa wanalalamika kwanini team yetu inasajili mbele tu wanaacha sehemu ya kiungo niwaambie kitu nazani mmejionea wewenyewe hata uko mbele tulikuwa ovyo na uongozi wameona so uongozi wanaposajili wachezaji wapya wengi wameona tunawachezaji wengi wa kawaida kwenye nafasi tofauti tofauti sio tu kiungo pekee.Wachezaji ambao naona wanastahili kuwa chelsea Thiago silva, kante, Kovacic, Benchillwel,RJ na Ziyech pekee watu wanamsema Ziyech lakini huyu Ziyech angekuwa anacheza na mafundi wenzake tusingekuwa tunahoji ubora wake
Shida ya ziyech anakiburi hicho ndio kinachomponza. Na anaweza kuwa toxic labda abadilike.
 
Kwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini

Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)

Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
Ni mapema sana kusema mudryk ni zaidi ya Hazard mkuu.
 
Labda hukunielewa Mzee..na sipo kumtetea mount nilikuwa Namaanisha kuwa mount misimu miwili iliyopita ukijaribu kufuatilia game Karibu zote alikuwa anacheza si ligi, carabao na FA, uefa kote huko lzm apate dakika hata km si 90...thiago unakuta game ndogondogo za carabao au FA hachezeshwi, ili kummonitor
Ndio ila kwa umri kama wake ni bado mapema sana, msimu huu wote yuko poor.

Hivi angekuwa wakat ule wa sarri tunacheza Alhamis(Europa) halaf jpili tunagame ya league angeweza kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom