Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Povu la nini?

Hii inadhihirisha niliyosema ni kweli kabisa
Arsenal have been EPL underdogs since Wenga era
Kama nadanganya leta hapa takwimu
Mliacha kuwa top 4 mwisho lini?
Mliachaga kuwa title contenders tangu lini vile
Usipojibu haya maswali nyamaza, "no data no talk"
braza lemby wew ndio ulete uo ushahidi,, wa kuwa arsenal ishawah kuwa underdog epl
 
Nimeusearch bado sijauona
Kwa browser bonyeza hicho kialama
IMG_20230124_112150.jpg

Kisha bonyeza "ignoring"
IMG_20230124_112313.jpg

Hapo utabonyeza "threads" kisha bonyeza "unignore all"
 
braza lemby wew ndio ulete uo ushahidi,, wa kuwa arsenal ishawah kuwa underdog epl
OK

Tuanze na maana ya Underdog.
Underdog = Asiyedhaniwa kushinda

Meaning: a team predicted to have little chance of winning the title.
Kiswahili: Timu shindani inayobashiriwa kuwa na nafasi ndogo ya kushinda kombe
Katika miaka 6 iliyopita Arsenal ilikuwa ikimaliza nje ya top 4 na miaka mingine hata ilishindwa kushiriki kwenye mashindano ya Ulaya, yaani UEFA, EUROPA na Conference League.

Sasa kwa kawaida timu ikishakuwa kwenye hiyo trend au mlolongo wa kushindwa kwa namana hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu siku ikija kuibuka kufanya vizuri ndipo tunatumia neno Underdog

Arsenal hakuna aliyetabiri kwamba hadi sasa ingekuwa juu hapo kwenye uongozi wa ligi. Kwa sababu hiyo sasa ndipo neno Underdog inachukua nafasi yake. Mkichukua kombe, na miaka inayofuata mkaendelea kuwa contenders wazuri hilo neno linafutika lenyewe. It is natrural and automatic

Mfano hadi sasa, Man city pamoja na kufanya vizuri kwenye ligi, ikienda mashindano ya UEFA wanaitwa underdog, kwa sababu wana historia ya kufanya vibaya kwenye hayo mashindano.

Understood

Na muache inferiority complex, itawaua au kuwapanua miyoyo

1674554430592.png
 
Media moja ya Ureno inayoiwa Records imedai kuwa Chelsea wametuma maombi rasmi ya kumsajili Enzo Fernandez ndani ya masaa 24 iliyopita

Pia The Guradian wanadai kuwa Enzo amewaelezea uongozi wa Benefica nia yake ya kuwahama ili kujiunga na Chelsea.

Bado tunawasubiri akina Fabricio Romano,

GettyImages-1246302186-2-scaled.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom