WaombeeDah[emoji1787][emoji1787]ila wachezaji wa Chelsea kama wamelogwa wakifika langoni.
Afu anaondoka sasaZiyech naona ataendana na Mudryk
Game ilikuwa mbovuNimeangalia dk 30 nikaamua kuondoka zangu mpira haueleweki
Yule player wenu anayelegea akikarbia golini anaitwa nan?Nimeangalia first half pekee. Nimeshindwa kuendelea kipundi cha pili. Tunamiliki mchezo vizuri ila changamoto kumaliza mchezo tunashindwa. Sawa wote wabovu ila atleast sisi ndio tulikua na nafuu leo
Wewe unahukumu nyumba ikiwa kwenye lenta hata haijafunikwaIla hapa wazee hamna timu kusema ukweli
Kocha angemrisk akaanza tungeshindaMudryk kwa dakika alizochezq unaona ni mchezaj wa namna gani. Naona kabisa tumepata mchezaj.
Hii game ilikuwa ni yetu kabisa yani ni kama tumepoteza point 2.
Mount hafai hata kuanza kwa sasa yuko poor.
AnauzwaAnaenda wapi
Badiashile ni beki mzuri katulia hana mawengeLeo Chelsea wameimprove kwenye kupress, bado tu ball controll na decision making
Hall bado ana kigugumizi cha maamuzi sana
Chunkwuemeka naye ni mzito kwenye kuamua hadi anashindwa kucheza. Havertz kajitahidi ila bado slender hachezi kama yuko EPL, Galagher anatakiwa aongeze tactical and technical balling skills.
Kule nyuma Silva na Badiashile wametuliza Meli kabisa. Makosa bado kwa sababu backline haija balance kwa sababu ya uwepo wa Cucurella na Chalobah.
Kiungo hatuna kabisa japo Jorginho leo kajitahidi. Natamani Kante angekuwepo na kiungo mbunifu kwenye attacking line
Newcastle wanamtakaWapi? I meant anaenda club gan,club gan imeonesha interest?
Hujui mpiraHuyu mudryky ni Timo Werner kabisa mumepigwa pale suala la muda
Anazingua sjui tatizo ni nnChunkwuemeka ni mzito sana golini kwenye kuamua na kufikiri. Pasi aliyopewa na Mudryk alitakiwa one touch ashoot yeye akaremba.
Mudieke aje tu
Mount kawa takatakaMudryk kwa dakika alizochezq unaona ni mchezaj wa namna gani. Naona kabisa tumepata mchezaj.
Hii game ilikuwa ni yetu kabisa yani ni kama tumepoteza point 2.
Mount hafai hata kuanza kwa sasa yuko poor.