Na ana miaka 19 tuHapa itapendeza.
Malo Gusto ni mzuri sana
Una mahaba na raheem???anakosaje hapo katika wachezaji mizigo?
Usafi ufanyike hapo itakuwa vzr hao kina sterling na wenzak toa wote
Hapo kwenye nguvu napingana na wewe Hazard alikuwa na nguvu zaidi ya Mudryk ndio maana alikuwa apotezi mpira ukiwa mguuni mwake na pia ni ngumu kumkuta Hazard anaanguka ovyo ovyo akiwa anaona anaenda kufanya tukio angalia ile dribble aliyofanya against Arsenal pamoja nakusukukumwa hakuanguka mpaka anaenda kufunga goalKwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini
Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)
Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
Nop IMOHapo kwenye nguvu napingana na wewe Hazard alikuwa na nguvu zaidi ya Mudryk ndio maana alikuwa apotezi mpira ukiwa mguuni mwake na pia ni ngumu kumkuta Hazard anaanguka ovyo ovyo akiwa anaona anaenda kufanya tukio angalia ile dribble aliyofanya against Arsenal pamoja nakusukukumwa hakuanguka mpaka anaenda kufunga goal
Naona umezidisha mahaba kwa kitu kipya Hazard hakuwa na nguvu ebu be serious mkuu Hazard alikuwa hanyaganywi mpira kwa style yake ya kuficha mpira sio suala la skill pekee nguvu inatumika pale maana apigwa Sana miguuni ndio maana pamoja na aina ya soka lake hakuwa injury prone pale darajaniNop
Kuanguka sio kiashiria cha kutokuwa na nguvu
Time will tell, Hazard hakuwa na nguvu, iliyokuwa inambeba ni akili
Tunaposema nguvu ni kati ya Mudryk na Hazard tena ili iwe nzuri zaidi at the same age ya miaka 22 au karibu na hapoNaona umezidisha mahaba kwa kitu kipya Hazard hakuwa na nguvu ebu be serious mkuu Hazard alikuwa hanyaganywi mpira kwa style yake ya kuficha mpira sio suala la skill pekee nguvu inatumika pale maana apigwa Sana miguuni ndio maana pamoja na aina ya soka lake hakuwa injury prone pale darajani
Hela umetoa wewe bhana? Yaan tuue kipaji chake kisa ametolewa hela, fact akiendelea kucheza na matakataka, tutamuua kipaji chake. tuko hapa.Wewe ungekuwa kibanda umiza wangekuumiza kweli, Mudryk tumetumia ghrama kumpora halafu uje kwenye jukwaa kutuambia angeenda Arsenal na kufanya ujenzi woote unaofanyika bure
TUSIROGWE KUMUUZA ZIYECH,,,,,WOTE WANAOSEMA ZIYECH NI AVERAGE PLAYER HAWAJUI MPIRAHawa sajili mpya wanatuonesha jinsi gani tunawachezaji wengi wa kawaida kwa dk chache wanatuonesha class ya hali ya juu kuna watu walikuwa wanalalamika kwanini team yetu inasajili mbele tu wanaacha sehemu ya kiungo niwaambie kitu nazani mmejionea wewenyewe hata uko mbele tulikuwa ovyo na uongozi wameona so uongozi wanaposajili wachezaji wapya wengi wameona tunawachezaji wengi wa kawaida kwenye nafasi tofauti tofauti sio tu kiungo pekee.Wachezaji ambao naona wanastahili kuwa chelsea Thiago silva, kante, Kovacic, Benchillwel,RJ na Ziyech pekee watu wanamsema Ziyech lakini huyu Ziyech angekuwa anacheza na mafundi wenzake tusingekuwa tunahoji ubora wake
Acha kumtukana hazard,acha kuwafananisha mara moja wote tunawapendaKwa maoni yangu, Mudryk ni zaidi ya Hazard kwa nini
Mudryk ana speed, Hazard hakuwa nayo
Mudryk ana nguvu, Hazard hakuwa nayo
Mudryk yeye ni direct focus (akipata mpira anatafuta goli liko wapi) wakati Hazard alikuwa anacheza wide zaidi (akipata mpira anaenda nao mbele nyuma kushoto, kulia hadi apate upenyo wa kuleta madhara)
Vitu ambavyo wanafanana
Dribbling
Passing na assists
Jamaa amemsahau hazard kiasi hikiDogo ni mzuri. Nilimpenda jana zile dakika alizocheza. Inabidi atulie mpira imkae vema. Ameonesha uhai. But level ya hazard bado mkuu[emoji23][emoji23]. Ngoja tusubiri kwanza[emoji1666]
Mchezaji gani alikuwa takataka ,,, au wewe ndio ulikuwa takatakaTimu iliyojaa matakataka halafu ikabeba UEFA, hapo ndio huwaga mpira wa miguu unaponichanganya sana. Hata hivyo pia ndio umuhimu wa Kante akiwa mzima unaonekana
![]()
Swali zuri umemuuliza akikujibu nitagMchezaji gani alikuwa takataka ,,, au wewe ndio ulikuwa takataka
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app