lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,704
- 25,947
Anacheza na Jorginho kwenye midfieldUsubir umuone nafasi atakayokuwa anacheza
Anacheza na Jorginho kwenye midfieldUsubir umuone nafasi atakayokuwa anacheza
Havertz na Ziyech so far wanacheza vizuriHao takataka akina Mount ,ziyech ,Hvertz na mburukenge wengine wanatakiwa wale bench ,mi nashangaa kwa nini wanaanzishwa ,walitakiwa kula bench mpaka mwisho wa msimu na wauzwe
Sio yeye tu, quality ya wachezaji wengi wa Chelsea imeshuka tangu washinde UEFAGallagher ni mchezaji mzuri mwenye nguvu na pumzi ila hana akili ya mpira
Mjitambulishe basi tuwajue, isije ikawa mnakuja kuondolewa flustration zenu hapaWatching mid-table teams in action, no creativity not impressive, basi mpo mpo
Mkulungwa "KTBFFH" unamaanisha nini?Kama tutafanikiwa kupata matokeo leo tutajiweka nafasi nzuri sana walau karibu kabisa na top four.
God bless us KTBFFH[emoji838][emoji838][emoji838]
Kama wewe ulivyoweza kutazama halikadhalika nasi tunaweza Chifu [emoji847]Hii mechi yenu ni mbovuuu, mpira haueleweki, mnawezaga vipi kutazama huu upuuzi?
Ni msenge afu anataka mshahara mkubwaIla mount bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye nafasi ya kushoot unatoa pass kweli.
Keep The Blue Flag Flying HighMkulungwa "KTBFFH" unamaanisha nini?
Tuma salamuIla hapa wazee hamna timu kusema ukweli