juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tukiachana na issue ya Potter.
Wachezaji nao inabidi waoneshe kwamba wanastahili kuvaa hizi jersey, waoneshe kujituma hata kama tunafungwa tuone juhudi ilikuwepo
Felix kaja juzi tu ila jana ndio kawa mchezaj wetu bora.
Kuna wachezaj wako halafu wanataka wapokee 300K kweli na hakuna lolote walilofanya mpaka sasa.
Potter tunamuhukum kwa sababu ya matokeo mabov yaliyofatana ila ukiachana na hilo wachezaj wetu nao wajitafakari hatuwezi tukawa kila siku tunachange kocha kwa kuhisi kocha ni mbaya