Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Chelsii wamegeuka wachekeshajiAna
Anangoja tupigwe aje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Depal ukuje kuchukua ndugu zako .
Chelsii wamegeuka wachekeshajiAna
Anangoja tupigwe aje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arsenal toka naijua hatujawahi kushika nafasi za 10 ,Mkuu hii hali tunayopitia nyie mmekua nayo kwa miaka karibia kumi. Mmewezaje kusurvivenipe experience mkuu nyie wazoefu wa haya mambo
Sick bay FCHII CLUB YA MPIRA AU WODI YA WAGONJWA
Chelsea currently have [emoji647] first team players injured.
[emoji603] Kante (Hamstring)
[emoji603] Broja (Knee)
[emoji603] Reece James (Knee)
[emoji603] Loftus-Cheek (Calf)
[emoji603] Edu Mendy (Shoulder)
[emoji603] Fofana (Knee)
[emoji603] Chilwell (Thigh)
[emoji603] Sterling (Thigh)
[emoji603] Pulisic (Knee)
[emoji603] Zakaria (Unknown)
Ha ha ha ha ha ha ha!!Hii thread ya Chelshit ilivyo sasa,ndivyo Manyumbu united walivyokuwa mwaka
Jana.
Mimi kazi yangu moja tu!
Kucheka.
Ughonile Nkamu.
Ndagha Nkamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha ha ha!!
Ndio kutesa kwa zamu huko sasa Nkamu, sahivi zamu yao kutaabika. Rafiki ako wa chuga anamkataa Potter eti wanamtaka Mmasai Ole Gunnar Solskjær [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ughonile Nkamu.
😂😂😂Ndagha Nkamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2479310
Bila shaka huyu ni OllaChuga Oc
Yule wa Newcastle bora abaki palepale tu St James Park, hata Barcelona ikimuhitaji asiendeNaye ni mwingireza aliyewahi kuwa kocha wa AFC Bonamouth na Burnely na hakuwa hata kocha wa kuogopwa
Akiwa mchezaji aliichezea AFC Bournemounth kwa muda mrefu na mwingin e akiwa mchezaji wa mkopo tena timu za daraja la chini, hawajawahi kuichezea timu yake ya taifa zaidi ya U21
Tukimfikiria sasa hivi ni Kama Potter wa Brighton tu, historia zao za utaifa, uchezaji na ukocha zimefanana kabisa
Ninachoona Falsafa yake imewafit sana wachezaji wa New castle
Mimi kocha hapa ni Conte tu
Abeee 😛
Ameandika Swaleh Mawele:Kwema ndugu yangu Lembu
Mpeni muda Potter
[emoji23]Ameandika Swaleh Mawele:
Graham Potter ni bonge la kocha anaweza kuwashusha daraja kama mambo yatakwenda vizuri, kitu cha msingi ni kumuunga mkono ili aonyeshe uwezo wake.
View attachment 2479422
Hizo hesabu kampigie secretary wako akomae, kwenye mpira hizo ni hesabu za kimaskini mnoRedcard ya Felix itaigharimu Chelsea karibia £3m kumlipa wakati hatoi huduma kama ifuatavyo:
Mshahara- 250,000 x 4 =£1,000,000
Fee £9,000,000/5=. £1,800,000
Karibu tatu.
Ujinga mtupu, ni Chelsea tu inaweza kufanya ujinga wa aina hii