juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tunaweza kuwa na team mbovu ila Potter hafai kuwa kocha tumedowngrade kumuappoint Potter.Nini tatizo la hii timu? Tacticos wa cheltako mnalaumu kila kinacholaumika, tatizo kuu la hii timu ni kocha, huyu tajiri hajui mpira afu kahamishia staffs wa Brighton hapa, we unadhani wanaweza muhukumu Potter kwa usawa wakati ni soldier since day one [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kocha anachange system Mara kibao thats means anachange tactics pia, kuna makocha wakutrust the process km Mikel Arteta ila Potter haoneshi, Sack this loser, yule kocha kastaafu national team ya Spain mzuri kuliko huyu. That's my opinion
Potter ni kama Moyes wa Everton.