swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
Kinachonisikitisha hakuna kauli yoyote kutoka kwa wamiliki Juu ya hali team inapitia. Hivyo wao wamekubaliana na hii hali.
Cholabah mzee wa kuchomesha.... 😛 😛 😛Luis Enrique ni kocha mzuri sana nahisi tukiwa naye hata kina Felix na Havertz wanaweza nyanyua viwango vyao. Ila tatizo letu atahitaji sajili nyingine zaidi tena vipaji haswa sio hawa kina Chalobah kupiga pass tu tatizo.
Mitano tena kwa Special Agent Chuck Norris [emoji1478]Sources have confirmed Graham Potter has retained the support of the ownership and that sacking him after Fulham “was not even a topic of discussion” (@Matt_Law_DT)
Loyalty aliyokuwa nayo Tuchel ilikuwa unmatched ,Kwa msukosuko tulilopigwa ule yet akasimama hata kwenye press conference utafikiri timu ya baba yake ,aisee ilikuwa ni upuuz kumuacha ,Mm nilisema, walifanya makosa sana kumuondoa TT
Coaches are hired to be fired, Graham Potter is on the list!
Kwa muda mrefu Makocha wa Kiingereza wanashindwa kufanya vizuri EPL kulinganisha na Makocha wa Kihispania au Mataifa mengine.
Kinachowaponza ni kusifia Sana kama ilivyo wachezaji wao wa Kiingereza ambao wengi Wana uwezo wa Wastani
Maybe could work.Tumchukue Hans Flick au Luis Enrique la sivyo hii timu halimalizi hata top 10
Kibaya zaidi hizi engine za timu Chillwell ,James na Ng'olo Kante ndio zimekuwa zikificha aibu yetu kwa muda mrefu ,hata ile Uefa champions League enzi za Tuchel wao ndio waliohusika kwa kiasi kikubwa ,msimu uliofuata wa Thomas Tuchel tulipoanza vizuri kwa kasi na mpira mzuri na matokeo mazuri na tukaongoza ligi karibia robo msimu ,wale wingbacks wawili walipoumia James na Chillwell then naye Kante nadhani mnajua kilichoanza kutokea from then on then tukaondoa msingi mwingine wa muhimu sana kwenye defence Rudiger , ukuta wa Silva na Rudiger ulikuwa ni ukuta haswaa sasa tukaokoteza huyo Kulibaly garasa .HII CLUB YA MPIRA AU WODI YA WAGONJWA
Chelsea currently have [emoji647] first team players injured.
[emoji603] Kante (Hamstring)
[emoji603] Broja (Knee)
[emoji603] Reece James (Knee)
[emoji603] Loftus-Cheek (Calf)
[emoji603] Edu Mendy (Shoulder)
[emoji603] Fofana (Knee)
[emoji603] Chilwell (Thigh)
[emoji603] Sterling (Thigh)
[emoji603] Pulisic (Knee)
[emoji603] Zakaria (
Okoa ndugu zako[emoji23]Abeee [emoji14]