juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tunatia huruma sana, hii team ni nzuri kuliko hata team aliyoikuta Arteta.Sema Chelsea Waruhusiwe kucheza hata kwa Mikono hali yao ni Dhaifu kwa kweli [emoji28].
Tunatia huruma sana, hii team ni nzuri kuliko hata team aliyoikuta Arteta.Sema Chelsea Waruhusiwe kucheza hata kwa Mikono hali yao ni Dhaifu kwa kweli [emoji28].
Sahihi kabisa, akizubaa atakuta hadi Unai Emery wa Aston villa akaifanya Aston Villa kuwa kablu ya kuogopwa kuliko hiyo Chelsea yaoni kweli kwa mfano Lampard, Gerald wote hawana mafanikio.
Huyu mwekezaji kaingia chaka, kuikoa timu atafute kocha wa muda fastaa walau aivuche chelsea kwenye EUROPA
Hivi Newcastle yule kocha wamemuokota wapi?Sahihi kabisa, akizubaa atakuta hadi Unai Emery wa Aston villa akaifanya Aston Villa kuwa kablu ya kuogopwa kuliko hiyo Chelsea yao
Sioni akishindana na pep, klopp & Arteta kwa maana ya elite positional structure, ex; United walijua Poch will be available ila wakafanya chaguzi nzuri kwenda kwa Eth,hapo ni luis Enrique at least unaweza kugamble kwa De zerbi.Graham Potter hapana hapana hapana. Hatuna kocha ile Brighton ya motomoto ilitudanganya. Bora tumchukue Pochettino. Huyu jamaa hii timu imemshinda huoni akiboresha kitu zaidi kila siku tunazidi kuporomoka
Yani umeanza kuwazia UEFA?[emoji23]Potter akitimuliwa mapema tunaweza kuwin UEFA, kama tulivyofanya baada ya kumtimua FL
Tukichelewa tutakuta mwana sio wetu
Hivi Rafael Benitez yupo wapi sikuhizi?Timu apewe banitez atawapa ucl
Huyo Kocha alikuwa AFC Bournemouth, ni Kocha wa Kiingereza ingawa Performance yake kwenye Timu yake ya Sasa ya Newcastle united imebebwa na Ukubwa wa Kikosi chake lakini pia na Falsafa yake kwa Timu.Hivi Newcastle yule kocha wamemuokota wapi?
Kama Arsenal ya ArtetaSema Chelsea Waruhusiwe kucheza hata kwa Mikono hali yao ni Dhaifu kwa kweli [emoji28].
Naye ni mwingireza aliyewahi kuwa kocha wa AFC Bonamouth na Burnely na hakuwa hata kocha wa kuogopwaHivi Newcastle yule kocha wamemuokota wapi?
Sehemu rahisi ya kufutia machozi kwa sasa ni huko, EPL tumefeli, CARABAO tumetoka, FA tumetoka. wewe ulifikri tuwazie nini? na tukiwa na Potter hatutatoboa wachezaji hawana confidence na kocha kashakosa confidenceYani umeanza kuwazia UEFA?[emoji23]
ile 3-4-3 imeshindwa kufanya kazi, hamna creativity wakifika kwenye box, haiwezekan i unafika kwenye box mara 25 ndani ya chezo afu unashindwa kufunga.Sidhani kama huyo Potter ndio alikuwa anauwasha moto pale Brighton nahisi alikuwa anadesa kwa mtu.
kwa 343 unategemea Azpi ndie awe winks backile 3-4-3 imeshindwa kufanya kazi, hamna creativity wakifika kwenye box, haiwezekan i unafika kwenye box mara 25 ndani ya chezo afu unashindwa kufunga.
Felix naye mipango hamna, kishuti ka cha mtoto utamfunga nani - stanina hamna na ndiyo maana Simeoni alikukwa anamuweka bechi kule juve
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siku izi kule manjestaa yani manyumbu kimtindo yanashinda shinda kama ni tanuru basi tunapitishwa haswa itabidi tuanze kuzoeya haya maisha
Mkuu hii hali tunayopitia nyie mmekua nayo kwa miaka karibia kumi. Mmewezaje kusurvivenipe experience mkuu nyie wazoefu wa haya mamboSema Chelsea Waruhusiwe kucheza hata kwa Mikono hali yao ni Dhaifu kwa kweli [emoji28].
Luis Enrique ni kocha mzuri sana nahisi tukiwa naye hata kina Felix na Havertz wanaweza nyanyua viwango vyao. Ila tatizo letu atahitaji sajili nyingine zaidi tena vipaji haswa sio hawa kina Chalobah kupiga pass tu tatizo.Sioni akishindana na pep, klopp & Arteta kwa maana ya elite positional structure, ex; United walijua Poch will be available ila wakafanya chaguzi nzuri kwenda kwa Eth,hapo ni luis Enrique at least unaweza kugamble kwa De zerbi.
Sasa kwa nini asidese tena kwa uyo mtu? Potter tumeingia chaka bovu sanaSidhani kama huyo Potter ndio alikuwa anauwasha moto pale Brighton nahisi alikuwa anadesa kwa mtu.