Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu itasinduka mwezi wa pili na kuamka kabisa mwezi wa tatu
Kama James, Kante hwataumia tena tunaweza maliza no. 6
Siwahesabii sana Chilwell kwa sababu anachukua muda kuwa fit
Fofana hata kuizoea Chelsea bado
Tusubiri msimu ujao tuu mzee, msimu huu hatupati hata top four
 
Tulishasema humu huyu Potter hamna kitu sasa ngoja tushuke daraja huku mkiendelea trust the process
Squad inaweza kuwa inashida, ila kwa kile tulichonacho hatutakiwi kustruggle kiasi hichi.
Kuanzia defense mpk attacking hakuna sehem moja ambayo utasema tunaonekana bora.

Hakuna fighting spirit kuanzia kwa kocha. Tunaingia kukamilisha ratiba.

Hata kama ni project ila mipango ya mida mfupi huwa lazima iwepo na lazima ushinde,

Unaona kabisa mapungufu yako ila hutaki kuyarekebisha. Baadhi ya wachezaj wako poor ila still unawangangania

Chukwumweka kila akiingia unaona kabisa analeta energy kwenye kushambulia cha ajabu anapewa dakik 10-15.

Manager umekaa tu hauwamotivate wachezaj wako.
 
Kwenye mechi 10 unashinda moja tu huyu tajiri wa marekani anafeli wapi na anamwaga mipesa tu hovyo hovyo wachezaji wataanza ikataa timu maana was msimu ujao hatuchezi uefa wala europa hata FA cup naona hatutashiriki duh!! Nimekumbuka ule msimu wa Mourihno alivyomaliza nafasi ya kumi 😞😞😞
 
Potter mitano tena.


Trasti ze prosesi
Screenshot_20230112_113438.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom