[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah hasira tu.....Mmiliki wa timu ni TaCo
Kocha nae ndie bonge la TaCo
KMMK zao
Havertz kacheza vizuri, kama unafuatilia vizuriSio Chalobah tu, kuna Havertz pia
Halafu chalobah ana uwezo mdogo sanaa, yaan akiwa na mpira pasi zake huwa ni mbili, ampasie azp au arudishe kwa kipa. Inakuaje mimi huku nanjilinji naona lakin chaknoris pale pale uwanjani haoniGP is very sturbon
Kwa nini amng'ang'anie Chalobah badala ya kumjaribu Badiashile?
Kurudi mpira nyuma kuna shida gani? hata Arsenal wanarudisha mpira nyuma na wanashinda mechiMpira ukifika tu kwa Azp unajuq ushaharibika maana kinachofata ni kurudi tena nyuma
Kuna shida ndio mana mpk leo hamna hat champions league.Kurudi mpira nyuma kuna shida gani? hata Arsenal wanarudisha mpira nyuma na wanashinda mechi
Kuna mashambuliz anayaua, kuna mda kabisa unaona kabisa fulham bado awajarudi ila yeye sinc hana pace na hatak kutake risk anarudisha nyumaKurudi mpira nyuma kuna shida gani? hata Arsenal wanarudisha mpira nyuma na wanashinda mechi
Kaangalie msimamo wa ligi, then cry more😂😂Kuna shida ndio mana mpk leo hamna hat champions league.