Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,701
- 35,772
Hata la Kwanza mpira unapita anauangalia tuuGoli la pili ni la KEPA jamani, anayebisha aje hapa
Hata la Kwanza mpira unapita anauangalia tuuGoli la pili ni la KEPA jamani, anayebisha aje hapa
Sikusema top fourTusubiri msimu ujao tuu mzee, msimu huu hatupati hata top four
Poche au Tino hafai, naye aliipaga Spurs moto kama GP wa brighton, kocha ambaye lazima tumuibe ni Conte kwa sababu pale spusr hana rahaGraham Potter hapana hapana hapana. Hatuna kocha ile Brighton ya motomoto ilitudanganya. Bora tumchukue Pochettino. Huyu jamaa hii timu imemshinda huoni akiboresha kitu zaidi kila siku tunazidi kuporomoka
Yaani Felix ni mzuri sana kule mbele kwa kutengeneza nafasi na kushoot on target. Nadhani shots nyingi za Chelsea zimetoka kwake. Ile red ilikuwa bahati mbaya tu atakosa mechi 3 za palace, liver na fulam again mwezi wa pili. Tutaonana hadi mechi na westham tarehe 11 FebKumbe Felix alipewa red 😂😂 Huyu ameamua kujionyesha kuwa yeye ni kichomi mapema
Huenda wewe unawaza ujinga zaidi maana hujasemaUnawaza ujinga
chelsea itamaliza nafasi ya 16You have hit the nail dude!
Mimi nishaanza waogopa hawa!, nafikiri approach yetu kwa hawa jamaa iwe more 'diplomatic',esp. wakichapwa..! tumeshazoea kuwasiliba vibaya Ze Gunnaz ila hawa ukigusa tu, lazima uingie choo cha kike-the next day unaweza kuta hataku-log inn humu ndani ikawa utata!
All n All thanx for taking the initative, kumbe mlikuwa wengi washabiki bwana mmejificjha?, mkawa mnadandia dandia tuu threads za timu sio zenu?
Nawasubiri Liverpool nao wa-take initiative kam yenu, nafikiri itapendeza zaidi kuwa na BIG FOUR ndani ya Jukwaa letu la 'kupunguza Stress'..!
Thomas Tuchel alimshauri vizuri mno ila akamwona hafai akamtimua, sasa anajuta, biashara inadoda kabisaMmiliki anajuta inunua kwa zile pesa.
TT angevumiliwa
Mm nilisema, walifanya makosa sana kumuondoa TTHivi TT alikuwa na shida gani au huyu boss miluzi anataka tukose hata champions league?
Kwa dakika alizocheza Felix unaona kabisa alikuwa mchezaj wetu hatari, na hapo ndio yupo na team kwa mda wa masaa 24 tu. ,kwenye kucreat nafasi, kwenye kukokota mipira,Shot on target n off target,Yaani Felix ni mzuri sana kule mbele kwa kutengeneza nafasi na kushoot on target. Nadhani shots nyingi za Chelsea zimetoka kwake. Ile red ilikuwa bahati mbaya tu atakosa mechi 3 za palace, liver na fulam again mwezi wa pili. Tutaonana hadi mechi na westham tarehe 11 Feb
Hii ndiyo point, the man is not creative enough, timu imemzidi.Potter sio mtu sahihi kwa hii project,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo tunaua, jiandaeni kupata burudani leo. Always when it is blue it is refreshing
Hata anga ikiwa blue kuna raha tupu
Hata bahari ikiwa blue kuna breeze ya kuleta raha
Ila rangi ikibadilika na kuwa red, fujo tupu
ni kweli kwa mfano Lampard, Gerald wote hawana mafanikio.Kwa muda mrefu Makocha wa Kiingereza wanashindwa kufanya vizuri EPL kulinganisha na Makocha wa Kihispania au Mataifa mengine.