Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Amkeni, Chelsea kadraw huku 2-2 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Boehly alisema wamiliki na TT walikuwa hashirikiani vision moja
Huyu Potter ndie anayeshiriki vision na Wamiliki
Haya ndio wamiliki waliyaona? Chelsea ikididimia?
Wachezaji woote wameshuka viwango
 
Boehly anacheza mpira wake vizuri nje ya uwanja
Kasajili hadi kila shabiki wa Chelsea karidhika kabisa, hata ukipeleleza maoni ya mashabiki kwenye Youtube, Twitter na mitandao mingine ya kijamii utaona kuwa mashabiki wa Chelsea wameridhika kabisa na jinsi Boehly anavyocheza kwenye usajili.
Sasa huku uwanjani Boehly kashindwa kabisa kucheza, ataweza kuyarudia matapishi yake ya long term project kwa mkataba wa miaka mitano kwa GP kweli?
 
Boehly alisema wamiliki na TT walikuwa hashirikiani vision moja
Huyu Potter ndie anayeshiriki vision na Wamiliki
Hayqa ndio wamiliki waliyaona? Chelsea ikididimia?
Wachezaji woote wameshuka viwango
GP team imemzidi uwezo, ni kubwa sana kwake. Lilikuwa kosa kubwa kumpoteza Tuchel.
 
Hivi tangu tumuappoint Potter eneo lipi ameimprove???

Yani tunaonekana kama genge la wahuni ambao linakusanyika siku ya game
Anachoweza ni kutushusha kwenye msimamo kwa kasi! Tunamtafuta Southampton sasa!
 
Hii timu itasinduka mwezi wa pili na kuamka kabisa mwezi wa tatu
Kama James, Kante hwataumia tena tunaweza maliza no. 6
Siwahesabii sana Chilwell kwa sababu anachukua muda kuwa fit
Fofana hata kuizoea Chelsea bado
 
TUNAJENGA TIMU JAMANI
SAFARI NI NDEFU
ASIYETAKA ATAFUTE TIMU NYINGINE HARAKA
Anachofanya Potter siyo kujenga ni kubomoa kila alichokikuta! Team ilikuwa na mapungufu machache mno ambayo kama tungepata kocha sahihi mwanga ungeshaanza kuonekana lakini kwa mwendo huu nna wasiwasi hataPotter mwenyewe hajui anachopambania, team haina muunganiko, wachezaji wamepoteza ari ya upambanaji! Kifupi hii siyo Chelsea.
 
Kuna habari gani humu??

Chuck Norris mitano tena [emoji1478]
JamiiForums795278747.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom