Alipoomgeza mkataba mpya sikumuelewa yule dogoSwala la usajili wa KANE achana nalo litakupasua kichwa.
Mwenyekiti Levy haambiliki kwenye kuuza wachezaji.
Project ya CONTE inamuhitaji KANE.
KANE alijipiga risasi mwenyewe kuongeza mkataba mrefu spurs.








Ndivyo mnavyojidanganya huko gettoni kwenu eh!Prediction yangu kwa chelsea 2022/23
Tuche amalizi msimu mzunguko wa kwanza tu anapoteza kazi ndo hatakuwa kocha wa kwanza kupoteza kazi pale England.
Nafasi =5/6
Uefa = 16 bora
FA = semi final
Carabao cup = final lost 2_1
Top score = kai havertz 5 goals
Top asisst = stering 3
Mendy Clean sheet = 6
Kila msimu lazima timu kubwa moja ichemshe vibaya sana.
Kwa upepo naouona lile jini la manure lililo tutesa msimu ulio pita naona kila dalili linakuja kwenu mjiandae tu kisaikolojia.
View attachment 2312981
Hivi kwa nini TT anavutiwa na wachezaji wa hovyo hivi. Mara Zaha mara FofanaTetesi: Tuchel amehusishwa kumtaka Wilfried Zaha
Inawezekana ni tetesi za media tuHivi kwa nini TT anavutiwa na wachezaji wa hovyo hivi. Mara Zaha mara Fofana
Hakuna mtu atamnunua Cucu kwa £50m+, Chelsea wachomoe beteri tu. Tamaa ya nini, wao walimnunua £15m miaka hata miwili haijaisha wanatoa udenda hela ndefu hivo?Brighton wanamtaka Levi Colwill moja kwa moja na si kwa mkopo.
Chelsea wako tayari kumruhusu kwa mkopo tu.
Brighton now wanataka hela kubwa tofauti na ile iliyokadiriwa mwanzo ya £50M ambayo chelsea wameofa jana , mpk sasa Brighton bado hawajajibu.
Zaha nae si alikuwa flop man u au umesahau? depay sio winga halisi ni mchezaji ambaye anaweza akaplay as number 10 kwenye mechi hiyo hiyo yupo dnamic hatulii kwenye nafasi moja lakini zaha ni winga halisia anaecheza pembeni zaidi kutokana na mfumo wa TT uchezaji wa aina ya depay unafit unaruhusu flow of movement in attacking ukizingatia hatuchezi na striker halisiaZaha ni mzuri kuliko Depay na tena Zaha amezoea EPL, Depay ni flop wa EPL akiwa Man U
Yan kama hii dili ikikamilika basi kuna beki mwingine anasajiliwa
Kwa uchezaj wetu naona Depay unamfaa, halaf ni mmaliziaji mzuri ukilinganisha na kaiDepay tumchukue kama kawekwa mtaani bure, tukabate naye msimu mmoja tu labda italipa

#CFC
#CFC
Hiyo ni done deal tayari.subiri announce Alonso + azpilicueta wanaenda Barcelona huku Chelsea tukimchukua DejongKUNA UWEZEKANO FABRIZIO AKAINGIA CHA KIKEE ?
David Ornstein didn’t tweet a thing about Cucurella after his update this morning… he really is the GOAT.