Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wamesha submit ofa ya pili ya Fofana ya Paundi 70m Leicester wanataka 80m
Kuna uwezekano pia Ampadu akajumuishwa kwenye swap deal
Kama tukimpata huyo kwa hiyo pesa vipi kuhusu de jong dili lake tutaweza kukamilisha
 
Mechi ya msimu uliopita Everton walitukamia sana tuliambulia kipigo pale kwao na hatuna historia nzuri tukichezaga pale

Kule mbele ndo na mashaka napo tunahitaji namba tisa kamili asimame leo maana ile mechi ya mwisho nao Kai hamna alichokifanya
 
80M kwa fofana? Hapana aisee.

Hiyo 80M tukalipe kwa De Jong.
Wote wanatakiwa.

Issue ya De jong ni mpaka yeye mwenyewe atake kuondoka hapo ndipo ugumu ulipo.

Ila kwa fofana ni mzuri ila sio wakuuzwa hiyo bei, kwa sasa ukiwatoa hawa mabek walio kwenye top teams(van dijk,Laporte/Dias/Marquinho etc) sidhan kama kweny hiv vitim vidogo vinamchezaj wa hiyo thaman

Labda waseme ni kwa sababu ya mkataba wake tofauti na hivyo 70M ni kubwa japo ana potential ya kuwa one of the best cb mbeleni
 
Everton have won each of their last four #PL home matches against Chelsea

#EVECHE
IMG_20220806_104700_160.jpg
 
Ishu pia sio kuwa na Striker aliyekamilika.

Ishu ni kuwa na winga ya kushoto na kulia wazuri, wenye uwezo wa kufunga (10+ goals and 10+ Assists)

Kai akawa na kazi ya kushuka chini kuchukua mipira na kuwachezesha pale mbele.

Sawa kuna ongezeko la Rahim Sterling, bado winga ya kulia.

-------------------------- KAI -------------------

STERLING ------ MOUNT --------- RW
Sterling anacheza wide, kwa hiyo akae kushoto au kulia kwake ni sawa tu
Pia Mount, Pulisic na mawinga wengi wana uwezo wa kucheza wide. Mtu kama Ziyech tu ndie anaweza tu kulia
 
Kama tukimpata huyo kwa hiyo pesa vipi kuhusu de jong dili lake tutaweza kukamilisha
Tumebakiwa na chenji kama 132m, ndio inatosha na itategemea tumeingiza ngapi kwenye mauzo
  1. Raheem Sterling - £49million
  2. Kalidou Koulibaly - £34million
  3. Marc Cucurella - £55million
  4. Carney Chukwuemeka - £20million
  5. Gabriel Slonina - £10million
Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million
 
Chelsea are prepared to meet Leicester's £85 million valuation of Fofana.

Chelsea are hopeful of thrashing out a deal for less but rate Fofana so highly that they would be happy to give Leicester exactly what they are asking for.
It would be a world-record sum for a defender, eclipsing the amount the Foxes collected from the sale of Maguire three years ago.

Leicester paid £36.5 million to sign Fofana from Saint-Etienne and he was in fine form in his first season as Brendan Rodgers' side won the FA Cup - ironically beating Chelsea in the final at Wembley.
 
Weww mbwa Kama team lako halina consistency hata mchukue kombe la dunian na mbinguni mtabaki mafala tu ...

Man city itaendelea kuwatesa hata Kama haina CL ,sijui super cup CWC ,hata sijui Europa.....


Football is all about consistency sawa kenge maji wewe ....

Kwanza msimu umeisha Huna hata kombe ,harafu unabishana na champion of England,kalale mbweha njano wewe .....
Mbona povu jingi, vipi!?
 
Nasikia Chelsea wako obsessed na Fofana kiasi kwamba wako tayari hata kutoa Paundi mil 85 wanayotaka Leicester City.

My word: Akiflop tumeliwa

Kidogo kidogo Boehly anaingia mtego ule ule wa akina Marina
Lembu rafiki yangu naona FDJ mnambeba , manure watalia Sana

🚨 || FdJ to Chelsea is VERY Hot [Via - @GerardRomero].
 
Nasikia Chelsea wako obsessed na Fofana kiasi kwamba wako tayari hata kutoa Paundi mil 85 wanayotaka Leicester City.

My word: Akiflop tumeliwa

Kidogo kidogo Boehly anaingia mtego ule ule wa akina Marina
Fofana yupo vzr ,walikuwa na Saliba pale France timu moja , ilikuwa tuwabebe wote , tukamchukua Saliba , tukapanga msimu Mwingine tubebe fofana ,tukachelewa

Wote walikuwa na potential sawa, ila kwakipind kile tuliona mapema kumuwahisha Epl

Leicester wao walimuwahisha na kafanya vzr

Mkimpata atawasaidia Tyr epl anaijua

Shida ana injury ilimuweka nje muda mrefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom