Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pau nae ni takataka tu. Tumchukue Milan Skriniar kama tuko serious
Sio takataka aisee bali ni overpriced ni mchezaji wa £45mil tu ila kama tuko makini pau torres £50mil tunamchukua na already proven player
 
Soma maoni yangu huko nyuma nilishaelezea kama mara mbili, unaweza pia tembelea Youtube andika Fofana welcome to Chelsea angalia video na soma maoni ya watu kwa uangalifu utaona anavyosemwa negatively na positively. Mimi niliposoma wengi wanalaani pesa nyingi Chelsea anazotoa

Sawa jana nilimfatilia naona yupo vizuri. Sema bei yake hiyo ya 85 duuu
 
Kuna beki anaitwa James Tarkowski, Everton wamemchukua kutoka Burnley. Ni mara kadhaa namuongelea hapa, hebu leo mtizameni kisha mtapata majibu kwanini huw namkubali sana.
 
Agent wa De Jong ana push Ile mbaya Barca wapunguze mshahara wake abaki. Sasa majadiliano yamepause na Chelsea wanafuatilia matokeo ya kupunguzwa mshahata. Hii takataka Kwa Nini tusiachane naye. Barca Wana Nini Hadi watu kukubali kurengetwa hivi mchana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom