Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG-20221114-WA0001.jpg
IMG-20221114-WA0002.jpg
IMG-20221114-WA0003.jpg
IMG-20221114-WA0004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bring back Thomas Tuchel
TT ni mzuri ila kuondoka kwake ilikuwa kwa faida ya timu kwa sababu alikuwa haelewani na Boehly. Hiyo ndio sababu kuu na sioni Boehly mmarekani halisi akishuka kwa TT. Sasa tunaye GP tuna imani naye ni bahati mbaya tumepitia kipindi kigumgu, tumekutana na timu ngumu huku wachezaji wetu muhimu wakiwa majeruhi. Tutakapoanza kuteremka tutafika nchi ya ahadi tu, no way
 
Boehly kashaharibu, itamchukua misimu kadhaa kwa makosa yake matatu kurekebishika
Makosa ni haya
  1. Kaja kajifanya mjuaji wa mpira wa EPL -Kafukuza watu muhimu kwa haraka wakati hili lilitakiwa lifanyika taratibu na kwa tahadhari- kamfukua Predident, Marina na Cech. Kamfukuza pia Mkuu wa Pgysiotherapy. Kamfukuza pia Head Coach nk
  2. Kosa la pili Kafanya usajili wa kukurupuka kwa kutumia kocha mmoja halafu kocha mwingine anakuja kuwatumia wachezaji ambao hawakuwa chaguo lake
  3. Kosa la tatu kuchelewa kuziba nafasi muhimu kwenye timu upande wa ufundi
 
Wachezaji walioko Injuries na Return Dates

Total injuries = 9
  1. Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12/2022
  2. Reece James, majeruhi - No return date
  3. Wesley Fofana, majeruhi- No return date
  4. Ben Chilwell majeruhi- 27/12/2022
  5. N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
  6. Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- No return date
  7. Carney Chukwuemeka majeruhi- No return date
  8. Raheem Sterling - Ilness - no return date
  9. Cesar Azpilicueta - majeruhi - 17/11/2022
 
Boehly kashaharibu, itamchukua misimu kadhaa kwa makosa yake matatu kurekebishika
Makosa ni haya
  1. Kaja kajifanya mjuaji wa mpira wa EPL -Kafukuza watu muhimu kwa haraka wakati hili lilitakiwa lifanyika taratibu na kwa tahadhari- kamfukua Predident, Marina na Cech. Kamfukuza pia Mkuu wa Pgysiotherapy. Kamfukuza pia Head Coach nk
  2. Kosa la pili Kafanya usajili wa kukurupuka kwa kutumia kocha mmoja halafu kocha mwingine anakuja kuwatumia wachezaji ambao hawakuwa chaguo lake
  3. Kosa la tatu kuchelewa kuziba nafasi muhimu kwenye timu upande wa ufundi
1. Tuache Stori za vijiweni hv NI kweli kawafukuza kina marina na cech au wao Tu kwakuonyesha loyalty Yao Kwa Roman abrahamovic wakaamua waresign..? ( TT NI kweli alifukuzwa )

Czan km Kwa huo muda mfupi angeandaa hyo hierarchy ya timu nikiiimaanisha sporting director, director of football and the likes ...nadhani n zoezi linalohitaji process.....
Boehly Sioni Sababu ya kumsifu au kumpinga dirisha hili ambalo amekuwa interim sporting director coz ilikuwa kila wachezaji tunaohusishwa nao lzm watukatae na kuishia kukwapuliwa n timu nyingine ..asilimia kubwa tuliowasajili sio first choices... hopeful wakishakuwa assembled sporting director na wengineo ..kazi ianze huku project ya kudevelop uwanja ikiendelea
 
Wote waliondoka bila kutaka kwa lengo la kuanza na watu wanaounga maono ya bosi na mmiliki mpya.
Tena walitudanganya Marina angeshiriki kwenye usajili hadi dirisha liishe ila hicho kitu hakikutokea.
Ukweli ni kwamba wote tunataka Boehly afanikiwe na maono yake ila pia ukweli unabaki pale pale. Wamarekani huwa wanapapara na wanajifanya wao wajuaji kuliko wengine. Kafanya kazi zote za President wa team, Spoprting Director, Technical Director, Head Coach zote na pande zote kaboronga. An maono mazuri ila approach ya kuitekeleza hayo maono ni hovyo hovyo, ni muda tu whose know when hili janga litatibika. Hayo niliyoyasema yalikuwa yanaepukika ili trasnition period iwe nzuri. Wale akina Marina na wenzake wangewekwa vipora hadi successors wazuri wapatikane, pili TT asingefukuzwa hadi maono yake yaliyowekezwa kwenye usajili yafanikiwe au tusingepotez amil karibia 300 kusajili kwa kocha asiyekaa. That is a big blunder kwenye management hasa ya mpira kwenye ligi kama ya Uingereza. Mashabiki tutaumia hadi tukome. Tuwe karibu tu na mashabikli wa Arsenal na Liverpool ili watupe uzoefu wa kuvumilia kwa sababu Chelsea itachukua misimu mingi kurudi ulingoni
 
Kumbuka maono yaliyopaswa kutekelezwa pale Chelsea ni ya Boehly na siyo Tuchel. Hivyo baada ya kutofautiana mitazamo, ilikuwa ni lazima Tuchel aondoke.

Mashabiki lazima tuujue ukweli kuwa Chelsea ya miaka ya 2011 - 2022 ilikuwa imejengwa on short term success. Hatukuwa na team ya kushindana hata misimu miwili mfululizo.
Mfano tulichukua champions league 2012 tukamaliza nje ya top four EPL.

2015 tukabeba EPL msimu uliofuata tulimaliza nafasi ya 10.

2017 tukabeba EPL msimu uliofuata tukamaliza nje ya top 4.

Inconsistency za namna hii zimekuwa zikiendelea msimu baada ya msimu.

Pia hata tunapoingia top four kuna kuwa na tofauti kubwa sana ya points kati yetu na wale top 2 kwenye ligi (Man City na Liverpool)

Katika kipindi hicho hicho ambacho tumekuwa na inconsistency, tumetumia hela nyingi kuwanunua Lukaku, Morata, Timo Werner, Tiemoe Bakayoko, Barkley, Ziyech, Pulisic, Sterling, Kepa Alizabaraga, Drink Water na wengineo ambao wamekuwa flop.

Kwa maana hiyo kuna ulazima wa kubadili namna ya uendeshaji club. Na suluhisho ni kujenga team ambayo inaweza kudeliver in a long term. Team haiwezi kujengwa ndani ya wiki sita. It takes time.

Graham Potter hajapata hata preseason moja na team.
Hajashiriki transfer window yoyote na Chelsea.
Ameingia clubuni wakati ambapo kuna mechi nyingi na wachezaji muhimu wakiwa injured.

Mimi nadhani tumpe GP transfer window mbili angalau. Hii ya January na ile ya Summer alafu tuone atakavyounda timu. Baada ya hapo angalau itakuwa halali kumhukumu.

Tukumbuke hata Guadiola msimu wake wa kwanza na City mambo hayakuwa marahisi. Kidogo tu timu isiingie top four.
 
True and facts (Hakuna anayepinga hayo), ila Boehly bado mimi namlaumu kwa kuimpliment vision kwa approach mbaya. Mimi nalia na transition period haikuwa nzuri sana, TT alipaswa kuondoka kabla ya kufanyta matumizi makubwa kama yale.
  1. Auba ni wa TT
  2. Fofana ni wa TT
  3. Sterling ni wa TT
  4. Koulibally ni wa TT
  5. Zakaria ni wa TT
  6. Cucurella ni wa TT japo GP alikuwa naye Brighton kwa hiyo anamfahamu vizuri
Ningekuwa mimi Boehly ningemtoa kafara TT kabla ya usajili ili GP aje kwua mshauri mkuu kwenye usajili
Pia angetafuta mbadala wa Marina na nafasi zote nyeti kabla ya kufanya usajili. Transition ya rebuilding ingekuwa soft, sasa inakuwa hard kwa sababu ya hayo makosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom