Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,569
- 235,410
Ushindwee😂😂😂😂😂Anne, mimi nitakukumbuka wewe, unatamani kuwa Chelsea ila una nia mbili
Naipenda timu yangu ..Timu nzuri, timu inavutia,timu ina jina zuuuri.
Ushindwee😂😂😂😂😂Anne, mimi nitakukumbuka wewe, unatamani kuwa Chelsea ila una nia mbili
Tofautisha nyakati, TT halaumiwa kwa nyakati zote, pale tu dressing room ilipo collapseHaonyeshi dalili nzuri?
Amewafikisha Carabao na FA final.. Wote tuliahuhudia mtanange ulivyochezwa hadi dakika 120..Tumeangalia ile mechi nikiwa nimeshika moyo.
Ni vile tu bahati haikuwa upande wenu kwenye penalties.
EPL kawafikisha top 5,
Uefa nusu fainali ..Madrid akawazidi kidogo tu ..Hata sisi ile nusu fainali tungekuwa kundi mlilopangwa basi tusingetoboa.
Leo mnasema hajaonyesha dalili nzuri?
Masikini TuchelTofautisha nyakati, TT halaumiwa kwa nyakati zote, pale tu dressing room ilipo collapse
Hata kama mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.Moja kati ya qoute zake.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2348717
Mwamba nimemmiss Sana Bora alivyorudi eplBreaking News: Wolve wameshinda kesi ya uhamiaji wa Diego Costa na hivyo sasa Diego Costa anarudi EPL kama no. 9 wa Wolve mktaba wa mwaka mmoja
Toroka Arse8, Arsepunga, Arsedomo uende hata Mwantesa Utd huenda ukatuliza ubongo kwa msongo wa mawazo [emoji16]Chelsea mashabiki yake ni majinga majinga tu.
Yakifungwa unayakuta humu yanajifanya kusema tulijua tu sijui nini na nini ni mashenzi tu haya yakiongozwa na ollashoga na lembua.
Na sasa hivi yamemfukuza Tuchel huku yalijifanya kumpa jina sijui Tucheliban mara timu itayoogopwa leo hii chali
Arsepunga mna maneno mpaka basi [emoji2]Nyie cheltako mchukue lampanyoko awashushe daraja waja laana nyie
Hajamsikiliza.Boehly ameonyesha hivyo kwa TT, kampa mamlaka yote na kumsikiliza. Boehly alimpenda sana Ronaldo lakini TT alipomkataa hakulazimisha hata japo yeye ndie mwenye maamuzi
Wacha longo longo weweHajamsikiliza.
Angemsikiliza angempa muda kuona matokeo ya usajili...
Huwezi kupata matokeo haraka kiasi hicho.
Huko dress room wanafanyaga wachezaji na Kocha Mkuu hadi iwe sababu TT afukuzwe?Main reason ni kupoteza dress room ndio imefanya club imfukuze
Naona Mkuu mchana kutwa,muda wote umeshikilia Lampard🤣Kwa hii comment yako Lampard ali deserve more time kwa sababu aliikuta timu ina ban na bado akafanya vizuri kabla ya kuanza kufanya vibaya.
Ngoja nichukue popcornWacha longo longo wewe
Mkuu hapa kuna shida ya network. Embu niangalizie matokeo ya Napoli.Chelshit kama chama la Wana,
Wahuni wanajipigia tu[emoji16]
Mikeka yangu yote ya leo nimemuua LiverNitaungana na Tuchel kuhakikisha tunawachamba nyie Chelshit hadi mkonde[emoji1787][emoji1787]
Liverkuku 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pep mna hakika kweli Kuwa Tuchel alikuwa kocha?
Uzoefu unahitajika mzee. Kuna michuano mingiHata hao kina Conte, klop, Tuchel walianzia timu ndogo ....Mbona hampo optimistic
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwanini hukusema sasa hela tungenywea bia?Imekula kwako hiyo..ushachana mkeka.Mikeka yangu yote ya leo nimemuua Liver