Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pep vijana wake wanaenda HT wakiwa mbele kwa bao tatu...aila huko Dressing room aliwagombeza sana kuwa hajaona mpira waliocheza.
Wangekuwa hawa vijana wa Chelshit si wangetamani kujinyonga kabisa.
Maboss wanazingua , Tuchel alitakiwa apewe full authority awe dictator kama Pep pale city halafu ndio tumgudge sasa , kuna wachezaji mule walikuwa sumu Sana mule Alonso na genge lake walikuwa na Tabia ya kuanzisha migomo ya Chini Chini .
Hizo sumu zimesambaa mpaka Kwa akina Ziyech na matakataka mengine , ego za kipumbav kazi zero . Mbona kuna wachezaji wanajituma mafano James , SILVA kila mechi wanacheza vizuri hawa vibwengo wengine wanaona timu kama ya Baba Yao ,Huu upuuz ndio uliowacost manU na bado utaendelea kuwacost ,timu haitakiwi kumvumilia kenge yeyote Yule ,piga kazi coz unalipwa mbw@ we .
 
Isitoshe usajili ndio kwanza umemalizika,
Kuna wachezaji hawajamaliza hata wiki...Kocha amewafundisha saa ngapi sasa?
Wangempa muda angalau hadi December.
 
Mkuu ndio unaweza pata kocha yoyote, Ndoto ya Roman siku zote ilikuwa ni kumpata Guardiola ila ilishindikana kwa sababu ya tabia ya kocha kutopewa mda + mamlaka hayapo,

Kuna makocha ili uwapate lazima uwape mamlaka ya kwenye tim,ndio maana hata issue ya pep na yaya toure fasta tu iliisha kwa toure kuondolewa kwenye tim.
Boehly ameonyesha hivyo kwa TT, kampa mamlaka yote na kumsikiliza. Boehly alimpenda sana Ronaldo lakini TT alipomkataa hakulazimisha hata japo yeye ndie mwenye maamuzi
 
Source zinasema hiyo ni moja ya sababu ya mahusiano ya boehly n tuchel kuanza kuharibika
 
Isitoshe usajili ndio kwanza umemalizika,
Kuna wachezaji hawajamaliza hata wiki...Kocha amewafundisha saa ngapi sasa?
Wangempa muda angalau hadi December.
Shida sio kupewa nafasi ni kutoonesha dalili zote nzuri kuanzia msimu ulioisha mpaka msimu team inacheza soka la slow, backpass nyingi hakuna game yoyote tuliofunga kuanzia goal 3 kwa kipindi chote hicho, wachezaji wanapangwa out of position, uoni aina gani ya mpira tunaocheza kwa namna hii kwanini mmiliki asikufukuze akuishia hapo kuna wachezaji kawasajili hawachezeshwi kabisa mfano chikumeka bonge la mchezaji lakini hakuna hata game aliyopewa nafasi OllaChuga Oc anasema kocha hana mamlaka sio kweli kocha kapewa nguvu kubwa Sana wachezaji wote aliyowataka kapatiwa mfano mzuri ni Huu mmiliki alikuwa anamtaka Ronaldo lakini TT alimkataa na mamiliki akaamua afate maamuzi ya TT
 
Inasemekana pia msimamo wa Lukaku unaweza kubadilika baada ya TT kufukuzwa
Tusubiri tuone
 
Shida sio kupewa nafasi ni kutoonesha dalili zote nzuri kuanzia msimu ulioisha mpaka msimu team inacheza soka la slow, backpass nyingi hakuna game yoyote tuliofunga kuanzia goal 3 kwa kipindi chote hicho, wachezaji wanapangwa out of position, uoni aina gani ya mpira tunaocheza kwa namna hii kwanini mmiliki asikufukuze akuishia hapo kuna wachezaji kawasajili hawachezeshwi kabisa mfano chikumeka bonge la mchezaji lakini hakuna hata game aliyopewa nafasi OllaChuga Oc anasema kocha hana mamlaka sio kweli kocha kapewa nguvu kubwa Sana wachezaji wote aliyowataka kapatiwa mfano mzuri ni Huu mmiliki alikuwa anamtaka Ronaldo lakini TT alimkataa na mamiliki akaamua afate maamuzi ya TT
Haonyeshi dalili nzuri?
Amewafikisha Carabao na FA final.. Wote tulishuhudia mtanange ulivyochezwa hadi dakika 120..Tumeangalia ile mechi nikiwa nimeshika moyo.
Ni vile tu bahati haikuwa upande wenu kwenye penalties.

EPL kawafikisha top 5,
Uefa nusu fainali ..Madrid akawazidi kidogo tu ..Hata sisi ile nusu fainali tungekuwa kundi mlilopangwa basi tusingetoboa.

Leo mnasema hajaonyesha dalili nzuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom