Huo ndio ukweli ukifanya vibaya lazima uwajibike sisi sio midtable timu kama wapumbavu wengineWatu wanasahau kuwa sisi ni title contenders misimu yote hatupo pale EPL kuonyesha sura.
Ndio tunaspend bing kuleta wachezaji wazuri na tunalipa mshahara mzuri.
Manager yoyote wa Chelsea should know kwamba lazima a deliver hayupo pale ku enjoy club glory.
Ndio maana huwa tukiona mtu anatuzingua anasepa fasta.
Sisi sio asernal,sisi sio Liverpool (Hawa wakipata upepo tu ila Sasa wanarudi kwenye utamaduni wao waliozoea).
Ndio hata manure wametuiga akunaga mambo ya ufergeson zama hizi.
Ukishindwa ku deliver unaondoka instantly.
TT recently amekuwa the worst ever Chelsea inacheza bila malengo.
Timu inapiga pasi nyingii back ubweche tunafungwa kifala sana
Wakati club Ina wachezaji wazuri wa kaliba mbalimbali.
Anyway nashukuru kwa kutusaidia kupata UCL hadi wakati mwingine akituimpress.
Go approach kwa Boehly safi sana usicheke na kima.
Kwa miaka 19 aliokaa Abramovich mafanikio aliyopata ni kutoleta mazoea kwenye kazi na pesa.
Ukitumia pesa lazima upate matokeo otherwise ni hasara.
#KTBFFH.
Asernal ndio mna akili.zipi hizoChelsea mashabiki yake ni majinga majinga tu.
Yakifungwa unayakuta humu yanajifanya kusema tulijua tu sijui nini na nini ni mashenzi tu haya yakiongozwa na ollashoga na lembua.
Na sasa hivi yamemfukuza Tuchel huku yalijifanya kumpa jina sijui Tucheliban mara timu itayoogopwa leo hii chali
Wapumbavu watapinga mzeeHuo ndio ukweli ukifanya vibaya lazima uwajibike sisi sio midtable timu kama wapumbavu wengine
Endelea kuzikusanya hizo risiti ukichoka washia mkaa[emoji1787]
Masikini Tuchel𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: CHELSEA HAVE SACKED THOMAS TUCHEL!
Wangempa muda maana timu Ndio kwanza imemaliza usajili na jamaa alikuwa anajaribu kupanga kikosi,with time angepata kikosi kizuri tu kinachofit plan zake.Moja kati ya qoute zake.😁😁😁😁
View attachment 2348717
Sio ndio msimu tuliochukua Uefa, supercup na kombe la club bingwa kwahiyo kauli yake aliitendea hakiMoja kati ya qoute zake.😁😁😁😁
View attachment 2348717
Main reason ni kupoteza dress room ndio imefanya club imfukuzeWangempa muda maana timu Ndio kwanza imemaliza usajili na jamaa alikuwa anajaribu kupanga kikosi,with time angepata kikosi kizuri tu kinachofit plan zake.
Cry moreDaah Yote kwa Yote tumtakie mafanikio Mema kokote aendako. Tunamshukuru sana TT kwani ametuheshimisha mnoo.
Na kweli kwa kipindi Flani ile kauli yake ya Kutengeneza Timu ambayo hakuna ambaye angependa kukutana na Chelsea ilitembea kweny Vichwa vya kila tunayekutana naye kwa Taadhari kubwa sana!
Atabaki kweny Historia na Kumbukumbu Njema kwa Kuwa chini wa Wamiliki wawili Wa Timu na Kuipatia Timu makombe Makubwa Ulaya Na Duniani ambayo siyo jambo Rahisi kuweza kuyapata yote hata uwe kwenye Ubora. Kiufupi TT ametufungulia Milango na Udhubutu kwa kutokuwa na Uonaga kwa Michuano Mikubwa kama Ile kwa kutuandikia Historia ambayo tunajidai nayo na Kutembea vifua mbele!
Pia naye nadhani Chelsea ndo Timu pekee katika historia yake ya Mpira iliyompa Heshima Na Tuzo Kubwa kuliko zote alizowahi Kupata akiwa mchezaji na Hata Kuwa Kocha.
Tutakusamehee kwa kutuuzia watoto wetu wa Academy ambao hapo Mbeleni wangekuwa msaada mkubwa kwa Timu yetu!
NAKUSHUKURU KWA YOTE THOMAS TUCHEL(TT)
Tumemfukuza sisi nyie wapinzani kwanini roho iwaumeWangempa muda maana timu Ndio kwanza imemaliza usajili na jamaa alikuwa anajaribu kupanga kikosi,with time angepata kikosi kizuri tu kinachofit plan zake.
Mwamba umeupiga mwingiWatu wanasahau kuwa sisi ni title contenders misimu yote hatupo pale EPL kuonyesha sura.
Ndio tunaspend bing kuleta wachezaji wazuri na tunalipa mshahara mzuri.
Manager yoyote wa Chelsea should know kwamba lazima a deliver hayupo pale ku enjoy club glory.
Ndio maana huwa tukiona mtu anatuzingua anasepa fasta.
Sisi sio asernal,sisi sio Liverpool (Hawa wakipata upepo tu ila Sasa wanarudi kwenye utamaduni wao waliozoea).
Ndio hata manure wametuiga akunaga mambo ya ufergeson zama hizi.
Ukishindwa ku deliver unaondoka instantly.
TT recently amekuwa the worst ever Chelsea inacheza bila malengo.
Timu inapiga pasi nyingii back ubweche tunafungwa kifala sana
Wakati club Ina wachezaji wazuri wa kaliba mbalimbali.
Anyway nashukuru kwa kutusaidia kupata UCL hadi wakati mwingine akituimpress.
Go approach kwa Boehly safi sana usicheke na kima.
Kwa miaka 19 aliokaa Abramovich mafanikio aliyopata ni kutoleta mazoea kwenye kazi na pesa.
Ukitumia pesa lazima upate matokeo otherwise ni hasara.
#KTBFFH.
Sisi kama binadamu mwezie huruma imetushika Kwa yule kimbaombao wenu.Tumemfukuza sisi nyie wapinzani kwanini roho iwaume