juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sidhan kama tunakikosi kidhur cha kwenda toe to toe na city .Tuna kikosi kizuri sana. Wachezaji wenye potential si chini ya wawili wapo kwenye kila position. Tuchel sio kocha mbaya, lakini naona ameshindwa kutwist mfumo wake kuwafit vyema wachezaji waliopo kwenye kikosi. Hii itatucost mno na itamcost yy pia kibarua chake before december
Kuwin Champions league ilikuwa kosa ilituaminisja tunakikos bora ila kuna player hawadeserve kuvaa zile jezi.
Our player hawatak kuwa pushed,
The only player ambae huwa wanajitoa ni Kante,James n Silva kwa msim huu, the rest nikama sukuma gari bar new signing