Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mamadou Sarr ni beki mzuri sana, kwa maoni yangu ni Colwill tu ndie anamfikmia kwa mabeki tulionao Chelsea. Bahati mbaya kaja kipindi Chelsea imekumbwa na outbreak ya uharo 🤣



Mmechanganyikiwa , mnatia huruma ! Kocha nae mchanga, hana uzoefu, hawezi ku-manage timu kubwa (Big egos), hajawahi shinda makombe makubwa ! Sasa mtu kama Enzo mwenye world cup, Rosemary atamuambia nn ambaye kechazea huko Hull City kwenye career yake ?
 
Next game Man City atufunge, Sema Tawire.
Screenshot_20260411_123317_X.jpg

1. Philip Jorgensen
2.Acheampong
3.Hato
4.sarr
5.Tosin
6.Esugo
7.Neto
8.Santos
9.Delap
10.Guiu
11.Garnacho
 
Hii mechi ya kesho dhidi ya Man City ni muhimu sana kwa sababu tunatakiwa tushinde au tufungwe. Droo sio nzuri kwa mahsabiki wa Chelsea
Kwa hiyo mnamfunga City? Na kina delap na Garnacho? Mnachekesha sana ..... tutakuwepo
 
Kwa hiyo mnamfunga City? Na kina delap na Garnacho? Mnachekesha sana ..... tutakuwepo
Hakuna anaetaka kushinda, ni kuwa hujamuelewa umedandia tu bila kuelewa, ni hivi ombi la kwanza tufungwe ni furaha kwetu, ila ikitokea wakashindwa kutufunga wasidroo aisee ni maumivu makali sana, bora kushinda haitauma sana. Kwa lugha rahisi ni either tufungwe au tushinde ila sio droo.

Na huyu Rosemary alivyo kilaza utashangaa anawakazia City, ikitokea akashinda afukuzwe mara moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom