Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel kafukuzwa, tunarudi kwenye cycle ile ile, tutaplay good mpk mwisho mwa msim then tutarudi kwenye default.

Inavyoonekana alikuwa kapoteza dressing room, ila ni weird decision tuliyoifanya kumfukuza nadhan mwez huu tungempa tuone hali ingekuwaje.

Seem boehly-clearlake hawakutaka kusubir mpk hali itakapokuwa mbaya
 
Moja kati ya qoute zake.😁😁😁😁
1662542309285.jpg
 
Chelsea mashabiki yake ni majinga majinga tu.

Yakifungwa unayakuta humu yanajifanya kusema tulijua tu sijui nini na nini ni mashenzi tu haya yakiongozwa na ollashoga na lembua.

Na sasa hivi yamemfukuza Tuchel huku yalijifanya kumpa jina sijui Tucheliban mara timu itayoogopwa leo hii chali
 
Hii taarifa imeiuma Sana yani, Nakubali Sana TT binafsi , naona ni suala la Muda pamoja na wachezaji ambao wana viwango vibovu na hawastahili kuvaa jezi ya Chelsea.
 
Kwa mechi ya jana kwa kocha bora ilikuwa kuwachezesha madogo e.g Chukwuemeka, Broja n.k + masenior wachache na timu ingepata matokeo.

Ila TT masikio mbawala hakuna kocha pale, anajidai ana mbinu kumbe ni feki feki, timu kufunga goli ni kubahatisha.

Timu inashindwa cha kufanya uwanjani wanaishia kupiga pass tuu hence ball possession laki 2.
Huyu si ndo mliyekuwa mnamsifia humu, kila kitu mkawa mnadakia "TT" .
 
Daah Yote kwa Yote tumtakie mafanikio Mema kokote aendako. Tunamshukuru sana TT kwani ametuheshimisha mnoo.

Na kweli kwa kipindi Flani ile kauli yake ya Kutengeneza Timu ambayo hakuna ambaye angependa kukutana na Chelsea ilitembea kweny Vichwa vya kila tunayekutana naye kwa Taadhari kubwa sana!

Atabaki kweny Historia na Kumbukumbu Njema kwa Kuwa chini wa Wamiliki wawili Wa Timu na Kuipatia Timu makombe Makubwa Ulaya Na Duniani ambayo siyo jambo Rahisi kuweza kuyapata yote hata uwe kwenye Ubora. Kiufupi TT ametufungulia Milango na Udhubutu kwa kutokuwa na Uonaga kwa Michuano Mikubwa kama Ile kwa kutuandikia Historia ambayo tunajidai nayo na Kutembea vifua mbele!

Pia naye nadhani Chelsea ndo Timu pekee katika historia yake ya Mpira iliyompa Heshima Na Tuzo Kubwa kuliko zote alizowahi Kupata akiwa mchezaji na Hata Kuwa Kocha.

Tutakusamehee kwa kutuuzia watoto wetu wa Academy ambao hapo Mbeleni wangekuwa msaada mkubwa kwa Timu yetu!

NAKUSHUKURU KWA YOTE THOMAS TUCHEL(TT)
 
Kosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??

Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,

If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani

Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith

Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,

Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.

No Coach
No DOF

Circus continue.............
 
Tuna kikosi kizuri sana. Wachezaji wenye potential si chini ya wawili wapo kwenye kila position. Tuchel sio kocha mbaya, lakini naona ameshindwa kutwist mfumo wake kuwafit vyema wachezaji waliopo kwenye kikosi. Hii itatucost mno na itamcost yy pia kibarua chake before december
TT hajui kuunda timu. Ila anaweza kutumia timu liyosukwa tayari.
 
The decision to sack Thomas Tuchel is not to do with Chelsea’s 1-0 defeat to Dinamo Zagreb and that his future was already concluded.

Chelsea are hoping to appoint a new coach quickly, possibly before their next game against Fulham on Saturday.

- @David_Ornstein
 
Kosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??

Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,

If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani

Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith

Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,

Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.

No Coach
No DOF

Circus continue.............
Wabongo sijui huwa tunataka nini?
 
Tuchel kafukuzwa, tunarudi kwenye cycle ile ile, tutaplay good mpk mwisho mwa msim then tutarudi kwenye default.

Inavyoonekana alikuwa kapoteza dressing room, ila ni weird decision tuliyoifanya kumfukuza nadhan mwez huu tungempa tuone hali ingekuwaje.

Seem boehly-clearlake hawakutaka kusubir mpk hali itakapokuwa mbaya
Kwa hii comment yako Lampard ali deserve more time kwa sababu aliikuta timu ina ban na bado akafanya vizuri kabla ya kuanza kufanya vibaya.
 
Chelsea imemfuta kazi Kocha Thomas Tuchel baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha tangu kuanza kwa msimu huu

Chelsea ni ya 6 katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa imecheza michezo 6 na kupoteza miwili huku ikianza vibaya Klabu Bingwa Ulaya kwa kufungwa na Dinamo Zagreb

Tuchel aliwasili Stamford Bridge mwaka wa 2021 kuchukua nafasi ya Frank Lampard na kuanza vema kwa kushinda Klabu Bingwa Ulaya ndani ya miezi 6

====
Taarifa ya Klabu

OFFICIAL: Chelsea part company with Tuchel

CgAGVmMYX-mAHGWqAAII6knxd8g749.jpg.webp

Chelsea:
On behalf of everyone at Chelsea FC, the Club would like to place on record its gratitude to Thomas and his staff for all their efforts during their time with the Club.

Thomas will rightly have a place in Chelsea’s history after winning the Champions League, the Super Cup and Club World Cup in his time here.

As the new ownership group reaches 100 days since taking over the Club, and as it continues its hard work to take the club forward, the new owners believe it is the right time to make this transition.

Chelsea’s coaching staff will take charge of the team for training and the preparation of our upcoming matches as the Club moves swiftly to appoint a new head coach.

There will be no further comment until a new head coach appointment is made
Chelsea imekosea sana kumfukuza kazi TT, yaani game 6 tu anafukuzwa kocha?

Nyie chelsea fans mnakumbuka TT timu aliyoirithi kutoka kwa Lampald
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom