Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je hii inatupa picha gani?
Rekodi chini ya Rosenior
Nafasi za Premier League kabla ya wikiendi
• Magoli: 19 — Nafasi ya 3
• Nafasi kubwa walizotengeneza: 37 — Nafasi ya 1
• Nafasi kubwa walizokosa: 22 — Nafasi ya 20
• Expected Goals (xG): 22.04 — Nafasi ya 1
• Tofauti ya Expected Goals: +9.84 — Nafasi ya 1
• Umiliki wa mpira: 62% — Nafasi ya 2
• Usahihi wa pasi: 89.6% — Nafasi ya 1 (sawa na timu nyingine)
1776110661258.png
 
Angalia tone anayotumia jamaa kuongea, simple sana ila ingekuwa mashabiki wa simba na Yanga matusi, dharau na kejeli ndo yangejaa hapo

 
Habari njema

Hato atakuja kuwa beki bora sana
Viongozi wamekaa na wamekubali kuendelea kukaa na wachezaji wazoefu kupanga msimu ujao (Enzo na Cucurella walitingisha kiberiti na imelipa)
Msimu ujao wamiliki wamekubali kusajili wachezaji watakao leta impact ya moja kwa moja
Unachekesha ndugu.... sio kwa hawa wamiliki wenu vichwa vimeoza , wawaletee proven players.... bado mtaendelea kujiokotea vitoto vya umitashumta !!!!!!
Hivi wonder kid wetu Estevao maendeleo yake yakoje hapo darajani ? Tuliaminishwa ni Next Neymar Jr
 
Unachekesha ndugu.... sio kwa hawa wamiliki wenu vichwa vimeoza , wawaletee proven players.... bado mtaendelea kujiokotea vitoto vya umitashumta !!!!!!
Hivi wonder kid wetu Estevao maendeleo yake yakoje hapo darajani ? Tuliaminishwa ni Next Neymar Jr
Wako adicted na vitoto
Ngoja tuone kama safari hii watatuchanganyia angalau akina Morgan Rogers, Murillo, Jan Paul van Hecke, Angelo Stiller
 
🚨 Cole Palmer: “Reece James won’t sign a six-year contract if he’s not spoken to the owners and the directors. Me and Reece spoke a lot”.

“About things we need, players we need to sign and how things need to be...”


jikon kunawaka moto, aliongea Enzo, cucu, now Palmer........

Hii timu ni takataka, owners na SDs ovyo kabisa hawajui ambition zao
 
Kocha anaitwa Rosemary unategemea nini ?

Caicedo kichaa, hana football IQ
Enzo sijui kama kapiga nyetto
Garnacho aliyemsajili apigwe Risasi ya mat**ko
Hato ni beki ?
Neto wa wolves na wa blues ni watu wawili tofauti
Mnatia huruma

Mpigwe tu madunduka
 
Jamani mimi nimekuwa safarini tangu Alhamisi kwa kazi maalumu iliyonitenga na network, sikuweza hata kuangalia mechi ndio naingia nyumbani asubuhi hii. Naona tumeshindwa kabisa kuifunga defensi ya timu C ya Man United ni defensi ipi tutaiweza kuifunga.
Je tutaweza hizi defensi
  1. Brighton vs Chelsea — Tue, 21 Apr, 22:00
  2. Chelsea vs Leeds (FA Cup Semi-Final) — Sun, 26 Apr, 17:00
  3. Chelsea vs Nottm Forest — 4 May, 17:00
  4. Liverpool vs Chelsea — 9 May, 14:30
  5. Chelsea vs Tottenham — 17 May, TBD
  6. Sunderland vs Chelsea — 24 May, 18:00
Wale wanaoednelea kuifuatilia Chelsea wakidhani itabadili matokeo poleni sana. Sisi sasa hivi tumeanza pre-season. Ligi ilishaisha Enzo na qwenzake walipoamua kutoka kuwachimbua wamiliki huko kwenye mahandaki yao na wakachimuliwa kweli hadi wakaaambukiza wachezaji wetu wazuri kama Palmer na Caicedo kupiga siasa kwenye vyombo vya habari.

Chelsea itamaliza ya 12 na safari yetu ya FA inaishia kwa Leeds Unbited

Chelsea is now the NETFLIX, tukitegemea next season kila msimu
Poleni sana

Chelsea itahitaji mabadiliko makubwa ikiwemo kuwaondoa akina Enzo, Delap, Garnacho. Neto na yale malapulapu ya siku zote akina Tosin, Badiashile.

KOcha pia n i mpumbavu huyu, yeye kaja katikati ya msimu badla ya kuendeleza mfumo wa Enzo maresca ambao wachezaji waliumudu anakuja kubadilisha mbinu na kutest mbinu zake za kijinga kwenye timu ambayo tayari ni mbovu. Kocha huyu hana akili na hata akili ndogo aliyokuwa nayo imeondolewa na hao wamiliki wanaomjaza uongo kichwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom